Mbuzi kafia kwa muuza supu muda huu huu

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,896
25,941
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana


Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu


Ebhana ee mda huu mbuz kafia kwa muuza supu afu uzur ni asubuh kinoma yaan ndo mda wenyewe wa kuuza supu

Kuna mdada kaja hapa napoish ana uza vitumbua sasa kwa bahat nzur kanikuta mwenyewe hata mama mwenye nyumba hayupo

Sasa ile anabisha hod si nikamdaka nimemumbeleza vizur nikamwimbia kwani hivo vitumbua vyako ni sh ngap akadai ni vya elf tatu kama na mia saba hivi, lakin mimi nilivyo mtoto wa mjin nimemwambia nitavinunua vyote tena nitakuongeza na nyingine ifike elf tano, mwana si kakubali

Nikamdondosha chin nikaanza kumuchuna taratibu kuanzia kwenye unyayo had kwenye kisogo teteteeeeheeeee agigiii aggigigi nacheka masela hapa kwa furaha


Baada ya kumaliza kumuchuna nikaanza kumuchemusha alikuwa simple sana kuiva kama maharage ya mbeya vile, akaiva fasta nikapakua nikaanza kumla mazee

Nimemula kinoma mda huu niko naosha vyombo vyangu masela

Yaan nimemula nimepakua kama sahan tatu had muda huu


Mods huu uz muuache hapa hapa masela maana. Ni wa mapenz na mahusiano

LONDON BABY
 
Ambacho hujatambua ni kuwa. Uyo muuza vitumbua anabiashara mbili. Kitumbua chakula na kitumbua mwili. Uyo ni tabia yake anauza kwa stail ya kipekee. Angalia isijekuwa wewe ndye mbuzi aliyefia kwa muuza supu.
Haswaaa maana sikuizi tekinikisi ni nyingi, unakuta mdada anauza vitumbu alivyojiremba,smart phone, afu eti vitumbua vyote vya elfu 3 mia 7,
mkuu hakujiongeza kitumbua gani haswa kinauzwa.....
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom