Mbuyu twite aliona mbali sana kuikataa simba rage athibitisha hilo kwa matendo yake kama mwenyekiti


M

MTUNZA AMANI

Senior Member
Joined
Jun 2, 2012
Messages
187
Points
195
M

MTUNZA AMANI

Senior Member
Joined Jun 2, 2012
187 195
Wadau, kitendo cha simba kuwasainisha mkataba wachezaji wa kigeni na kuwatimua hata kabla ya msimu kuisha kimeendelea, itakumbukwa baada ya kombe la Kagame kuna wachezaji wa kigeni walifukuzwa bila sababu za msingi, kama hiyo haitoshi leo tena Rage katangaza kumfukuza Daniel Akuffor ikiwa ni muda mfupi sana kasajiliwa kama ajira na hatimaye anafukuzwa tena bila sababu maalumu. Itakumbukwa miongoni mwa sababu ambazo zilimfanya Mbuyu Twite akatae kuchezea club ya Simba ni pamoja na Tabia ya simba kutowathamini wachezaji wa kigeni na kuwakatishia mikataba yao bila hata sababu za msingi. Itakumbukwa Simba imedhihirisha hilo,kwa anayetathimini kiwango na nafasi ya Akuffor mtakubaliana na mimi kuwa hakuna kosa la kisoka alilofanya.
Wadau nawasilisha hii siyo tabia nzuri kwa sababu unavomsajili mchezaji na kumfukuza unamharibia ajira yake na siyo haki kabisa.
 
Thomas Odera

Thomas Odera

Verified Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
651
Points
225
Age
46
Thomas Odera

Thomas Odera

Verified Member
Joined Nov 1, 2010
651 225
Amesema amevunja mkataba na mchezaji ambaye hata jina lake hafahamu Hiyo ni kauli ya kisiasa na kufurahisha genge la wahuni
 
KASHOROBANA

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
3,247
Points
1,500
KASHOROBANA

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2011
3,247 1,500
WANASIMBA PIA WALIKOSEA KUMCHAGUA UYU RAGE, ALIFUNGWA JELA KWA KOSA LA WIZI PALE TFF, AKASAMEHEWA KOSA LA WIZI UO KWA MSAMAHA WA RAISI,
LEO KAULIZWA MBONA WALIMSAJILI KWA MBWEMBWE KUBWA NA MAJIGAMBO, ALIVOKUWA KILAZA AKAJIBU HATA ARUSI INAPOKUWA KUBWA IYO NDOA UWA HAIDUMu
 
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
3,385
Points
2,000
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
3,385 2,000
Acha unazi ww.. Asubiri 2 watu waanze kuvua mashati ths time baada ya kuvua kofia last season!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
yahoo

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
3,417
Points
1,500
yahoo

yahoo

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
3,417 1,500
Nimemuona star tv akitangaza kuvunja mkataba na akufo lakini akashindwa kutaja jina la akufo na akasema hamjui hadi aliposaidiwa na waliokuwa wanamsikiliza
 

Forum statistics

Threads 1,285,664
Members 494,728
Posts 30,869,649
Top