Sababu Kipindi cha ujamaa watu walikuwa wanafanya kazi kwa uzalendo ndio maana akina mzee mwamwindi waliambiwa walime mashamba za vijiji na kuacha mashamba zao ndio sababu iliyompelekea amuue RC ..1964 wakati akipewa tender alilipwa pesa yake yote hadai hata senti kwahivyo Jamhuri haina deni nae. Hakufanya iyo kazi Bure yaani kwa Uzalendo
MAkifa ndio tutamkumbuka
Tatizo serikal yetu vitu vya msingi huvipa kisogo. Sijui huwa wanafikiria nn?
Watu kama hawa kwenye nchi za wenzetu wanathaminiwa sana tofauti na huku kwetu.Hii ni mbaya sana, Kuna wakati huwa najiuliza ni nani aliyetu-tuharibu akili zetu. Maana mashujaa wetu wengi tunawasahau.
Ajiongeze. Kwa vile kabuni nembo tu anategemewa imlishe maisha? Nadhani alitakiwa awe mbunifu zaidi na zaidi. Ndiyo maana wabunifu wote inabidi wawe wabunifu daima ili ubunifu wao uwalipe.[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Mchoraji wa Nembo ya Taifa maarufu kama Adam na Hawa, Mzee Francis Maige Ngosha anaishi maisha duni yasiyoendana na mchango wake aliotoa kwa taifa kabla na baada ya kupata uhuru ambapo anaishi kwa kuomba msaada wa kujikimu.
Chanzo:ITV
....akiwamo Mzee Moris, yule wa ngoma 12 za taaarifa ya habari RTD aka TBC..Hii ni mbaya sana, Kuna wakati huwa najiuliza ni nani aliyetu-tuharibu akili zetu. Maana mashujaa wetu wengi tunawasahau.
Ndivyo wazalendo wanavyotakiwa kuishi chini ya "oyeee!"[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Mchoraji wa Nembo ya Taifa maarufu kama Adam na Hawa, Mzee Francis Maige Ngosha anaishi maisha duni yasiyoendana na mchango wake aliotoa kwa taifa kabla na baada ya kupata uhuru ambapo anaishi kwa kuomba msaada wa kujikimu.
Chanzo:ITV
Salary slip, ni kweli kabisa. Maana nakumbuka hata yule Mzee Moris aliye piga ngoma za Kabla ya Taarifa ya habari pale Redio Tanzania alikufa akiwa masikini sana.Watu kama hawa kwenye nchi za wenzetu wanathaminiwa sana tofauti na huku kwetu.
Mkuu, kumbe Nembo ya Taifa kumbe ni kitu kidogo eeh? Hata kama hawalipwi!! waendelee tu kubuni kibashite bashite labda!!! Hakuna hakimiliki wala haki bunifu hivi ingelikuwa yale mataifa tuyaitayo makubwa kauli yako ingekuwa sahihi angelikuwa masikini?Ajiongeze. Kwa vile kabuni nembo tu anategemewa imlishe maisha? Nadhani alitakiwa awe mbunifu zaidi na zaidi. Ndiyo maana wabunifu wote inabidi wawe wabunifu daima ili ubunifu wao uwalipe.
Sahihisho Mzee Morris Nyunyusa!! Usimsahau na John Komba!! Ndio utajua umaskini wa nchi hii ni wa makusudi kama sio wa kulaaniwa!!! Sijui ni zile nyumba, viwanda na mali walizodhulumu 1967 ndio vinawarudi watawala?Salary slip, ni kweli kabisa. Maana nakumbuka hata yule Mzee Moses aliye piga ngoma za Kabla ya Taarifa ya habari pale Redio Tanzania alikufa akiwa masikini sana.