Mbunge Zungu: Tumeanzisha kodi ya miamala ya simu kwa watu milioni 30 wenye uwezo, waliobaki zaidi ya milioni 20 hawatalipa

FC734302-F797-4DDF-A524-5FABEB98617D.jpeg

9B4A7BF4-AB2A-4151-8816-A09FA01C82F5.jpeg
 
"Ujerumani yenyewe imeweka solidarity fund hii ni kwa ajili ya wale wenye uwezo kutoa ili kuwasaidia wale wenye uwezo mdogo. Ukikatwa usijiwaze wewe, waza wale ambao wanahali ya chini kuliko wewe". - Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu akitetea Tozo za miamala ya simu
 
Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50

Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye uwezo hulipa kodi kusaidia maendeleo ya watu wa maeneo masikini.

Chanzo: Clouds tv
Tusiwe kama dodoki, unapokopi kitu kutoka nchi fulani lazima ukopi na mazingira (supporting background/context) yake pia. Hapa kwetu unaongelea watu kma machinga wanaendesha bodaboda, wakulima wa kijembe cha mkono na kusubiria mvua bila kutumia pembejeo, wafugaji wa kuhamahama, wavuvi wanaovua kwa vyandarua vya mbu, wakulima wasiokuwa na soko la mazao yao, watu ambao wanajinunulia dawa kihola kwenye vijiduka vya dawa,
 
Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50

Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye uwezo hulipa kodi kusaidia maendeleo ya watu wa maeneo masikini.

Chanzo: Clouds tv
Zungu ungeleta na wazo jema la UB 40 (unemployed benefit) yaani malipo ya paundi arobaini kwa wasio na ajira, ningekupigia saluti.
 
Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50

Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye uwezo hulipa kodi kusaidia maendeleo ya watu wa maeneo masikini.

Chanzo: Clouds tv
Hivi huyo Zungu hajafa tu?
 
Huyo mwandishi angemuuliza mtu mwenye uwezo ni yupi? Mwenye simu? Anayatumia fedha [kiasi chochote?], Maana hii tozo hata kama unamtumia mtu hela ya matibabu ambaye hana uwezo kiuchumi, yeye anakatwa na wewe unakatwa! CCM sijui wanatumia akili gani!
Kuna mwandishi wa habari Tanzania mwenye uwezo wa kuhoji? Yaani mwandishi anabakia kujichekesha tu hajui lolote nashindwa kuelewa ni kujipendekeza ili apate uteuzi au ni kitu gani?
 
Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50

Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye uwezo hulipa kodi kusaidia maendeleo ya watu wa maeneo masikini.

Chanzo: Clouds tv
Hajafa tu huyu fisadi wa kiafghanistani?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom