mbunge zungu anaticha ataka mawaziri waliokopeshwa magari ya ubunge wasitumie magari wa uwaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbunge zungu anaticha ataka mawaziri waliokopeshwa magari ya ubunge wasitumie magari wa uwaziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kilombero yetu, Jun 15, 2011.

 1. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ndoanaendelea kuchangia hoja sasa hv bungeni,pia ndonimefahamu kuwa sala la posho kwa wafanyakazi kumbe zito kaliiba kwenye mpango wa serikali wa miaka 5,pia anashauri halmashauri zipange fedha nakuwachukuwa wanafunzi wa vyuo kwamasomo ya vitendo,nani hamuungi mkoni?
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Unaonyesha hukufeli darasani kimakosa bali ilikuwa halali yako!!Umeaandika nini heading yako? Kweli we tumaini a.k.a kibarua wa Nape!Nakushauri uirekebishe hiyo post yako!!
   
 3. Y

  Yetuwote Senior Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi simuungi mkono anavyosema suala la posho zito aliiba kwenye mpango wa maendeleo wa miaka 5. Mpango umeandaliwa lini? Mbona zito alishawahi kulisema hilii 2007? Sema ameona hakuna lolote linalofanyika akaamua kuchukua physical action (Kuzikataa). Usiamini sana mpango wa miaka mitano, hayo ni maandishi tu, Kwani kuna mangapi yamepangwa, yakaandikwa bila action yoyote?
   
 4. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  unataka tusubiri miaka mitano jambo linalowezekana leo??

  Wote tunajua waziri mkuu alishindwa kutoka kauli kuhusiana na magari ya gharama kubwa, akabaki kulalamika tu.
  Leo hii Zitto kwa kauli moja kaamua kusitisha posho yake, basi kila mtu anadandia...

  Ingekuwaje kama waziri mkuu angekuwa anatoka kauli zenye maamlaka kwenye maamuzi magumu??
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hivi biashara zake za kuuza madawa ya kulevya anafikiri tumesahau?
   
Loading...