Mbunge yupi unamwamini?

Rtd commando

Senior Member
Sep 9, 2014
178
195
Ndg wadau mabib na mabwana saa chache zijazo historia ya jamhuri hii itaandikwa upya na pengine bunge hili kuingia ktk rekodi mpya kwa kupitia scandal hii ya escrow,taja mbunge umayemwamin ktk kutekeleza hilo hasa kwa ustad wa kujenga hoja na kusimamia :
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom