Mbunge yupi amefanya vizuri katika jimbo lake

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Kwa mtazamo wangu naona kama wabunge wengi wanapenda sana kuongea na kujulikana. Wengine wamediliki hata kuwa na tamaa ya kuwa maraisi wa nchi hii. Si kosa ila utaongozaje mtaa kama hata familia yako imekushinda?

Laiti kama kila mbunge angekua na project ambazo anazisimamia jimboni kwake, naamini tanzania isingekua hapa ilipo. Kuna tetesi eti wabunge wengi wanaishi dar es salaam, hata mara nyingine hawajua hata baadhi ya vijiji ambavyo vipo majimboni mwao.

Je kazi za wabunge ni kuwa watafiti wa skendo za watu wengine, au ni kuilaumu serikali au kuitetea?

Nadhani ktk hili wabunge wengi wamepotoka.....

Ningependa tushirikiane kuchambua wabunge ambao kweli wameonyesha mfano ktk kutekeleza majukumu ya kimaendeleo kama wabunge.
 
Tafadhali eleza nini amefanya kwa mifano sahihi,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom