Mbunge wetu sugu uko wapi

kansije

Member
Sep 16, 2010
50
10
Sugu tangu uapishwe hatujakuona hapa mbeya au ndo umeshapata, tumekumisi mbeya carnival hatujasahau tulivyokuwa tukishinda sote asubuhi mpaka usiku sasa sijui ndo majukumuu yamekuzidi!!!!!!!!!!
 
yuko sinza hapa golden rock hotel kuanzia asubuhi mpaka usiku tuko naye tunabandua miugali ya muhogo na samaki...huko atakuja wakati wa kampeni 2015
 
FALSAFA NZURI YA CHAMA CHA SIASA NI SHARTI IAKISI JAMII HUSIKA NA
UHALISIA WA MATUMAINI / NDOTO ZAO, MAZINGIRA WANAMOISHI,
URAHISI KUKUMBUKIKA / KUELEWEKA KWA FALSAFA YENYEWE NA YENYE KUENDANA VILIVYO NA KIPINDI KATIKA MAISHA WANAMOISHI

Nitangulie kuwapa hongera sana sana tena sana CHADEMA kwa kuweza kuibuka na falsafa ambayo kiujumla ni sura halisi ya matakwa ya Wa-Tanzania na safari yetu ndefu kama jamii moja katika maisha haya.

Hakika kwa ufahamu wangu falsafa ya CDM imekidhi misingi yote muhimu kiasi cha kutosha kututambulishia kwamba CHADEMA ni watu gani katika jamii yetu, wanaamini katika lipi na siku zote tuwafanyie tathmini katika uendeshaji wa shughuli za kila siku katika taifa hili huku wananchi tukizingatia misingi gani hasa zinazotambulika rasmi.

Ndio, Falsafa ya Chama Cha Siasa si sawa na mtu kufanya ziara binafsi kwenye mbuga za wanyama kokote duniani. Wala Jambo hili halipigiwi KOFULI MLANGONI kwamba haukua nalo jana leo hii ukitangaza kuwa nalo basi ni kosa la jinai - laa hasha!! Hivyo mtu kusema kwamba labda kwa kuwa Mwenyekiti Mstaafu, Mhe Edwin Mtei, katika mahojiano yake na vyombo vya habari pengine miaka 5 iliyopita hakulitaja falsafa ya Chama; hiyo peke yake hakizuii chama kuweza kupiga hatua zaidi kwa KUJIPA SURA HALISIA kisiasa nchini.

Kiukweli, kupokezana kule kete la majukumu ndani ya Chama na hiyo ndio maana tunasema CHADEMA ni cha Wa-Tanzania wote na wala si mali ya mtu binafsi kama vilivyo vyama vingine vya mifukoni hapa nchini hivyo kama Mzee Mtei aliweza kutekeleza hatua fulani muhimu kwa uhai wa chama hiki basi nasisi Vijana Wa-Tanzania wenye mali yao tunaendelea kukamilisha mengine na mengi zaidi mazuri bado yako njiani yanakuja - kaeni mkao wa ushindi kote nchini!!

Nielewavyo mimi, falsafa ya Chama Cha Siasa kwa maelezo miepesi ni UJUMLA WA MAWAZO NA FIKRA yanayotafuta kumtambulisha mtu na au Chama na kile anachokiamini, kupenda kuliona likitendeka kwa jamii yake na kwamba yuko tayari kuwekeza muda na rasilmali nyinginezo muhimu kuendeleza fikra na mawazo hayo kwa faida na maendeleo ya jamii katika ujumla wake.

le majibu ya maswali ya msingi kama vile; (1) nyinyi kama Chama cha siasa wananchi tuwatambueni kuwa muu akina nani hasa?? (2) mnaamini katika mambo yepi hasa ambayo lasimamia ambayo ndiyo itakayokua ni chimbuko na muongozo wa shughuli zenu zote kiutendaji kama chama.

Na kwa mantiki hii ndipo nako tunapotangaza kwamba ni mwisho wa SIASA ZA MKUMBO huku tukifungua ukurasa mpya wa siasa za kisasa zenye kuegemea misingi ya wazi na iliotukuka mioyoni mwa Wa-Tanzania tuliowengi.

Hadi hapo nawashauri vijana wenzangu kote nchini na wananchi kwa ujumla kwamba maadam sote tumeshajionea madhara makubwa yalioletwa na falsafa mpya ya Chama fulani nchini; falsafa ya 'Kasi Mpya, Nguvu Mpya na Ari Mpya' pasipo kuelewa hasa dira zima ya wapi tunakopelekwa kama taifa, na hatimaye kutokea ajali ya mwaka kisiasa ambapo chama hicho hivi sasa kimeparaganyika vipande 200 kidogo, ni muda muafaka sote tukajiunga CHADEMA leo hii na wala si kesho.

Hakika CHADEMA pekee ndiyo nyumba salama kisiasa kwa watu wa rika zote, dini zote, rangi zote, jinsia zote na daraja zote za uelewa sawa na vile ambayo hata Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliiona na kutuambia kwa kinywa kipana sote nchini.
 
Sugu tangu uapishwe hatujakuona hapa mbeya au ndo umeshapata, tumekumisi mbeya carnival hatujasahau tulivyokuwa tukishinda sote asubuhi mpaka usiku sasa sijui ndo majukumuu yamekuzidi!!!!!!!!!!

Dogo hapa JF sio kijiwe cha majungu, kama umekung'utiwa demu wako hapa si sehemu ya kuleta stress zako, yeyote anaetaka kujuwa SUGU alikuwa anafanya nini last week basi ushahidi ni huu akiwa Mbeya
harakati za mbeya wiki hii

By Joseph Mbilinyi · View Photos
In this Album

Updated
about 2 weeks ago

  • 28 people like this.
    • Zeckstar Anyimike saluteMarch 13 at 9:52pm
    • Ben Benjamin mjomba nakuona..sasa hata hiyo nguo nyeupe umeshindwa kufunga vifungo vyote au huyo mgaya uliyemvalia koti lake umbo lake dogo ? Dr kafunga vifungo vyote !!! Hongera sana 2..wasaidie wananchi kwa hali na mali, kazi za siasa ni wito, kama al...See More
      March 13 at 9:53pm
    • Shedrack Mwainyekule keep it up ma bro im proud of u.im in mbeya i want 2 know many from u broMarch 13 at 10:59pm

    • Sophia Nyoni congrts..kakaMarch 13 at 11:03pm
    • John Nyoni Big Up dadi,Take it higher!March 14 at 6:08am
 
kijana kumbuka cku sugu alipo kuwepo uyole juzi tuu mpaka akasema anashangaa kwanini jk hamchukulii hatuaa yule mwarabu wa douwans au haukuwepo? msipende kuwashambulia watu bila sababu?
 
Hapo juu kwenye bandiko langu nimeshamuumbuwa picha za matukio yote ziko hapo, ndio maana mtoa mada kaingia mitini, alidhani hapa ni kijiwe cha kahawa kuja kuleta mambo ya udaku na habari za kusadikika. f.a.l.a tu huyu.
 
wknd hii alikua mwanza kwnye mikutano ya kushkulu wananchi katika wilaya za ilemela na nyamagana.. Kampa kik wenje na mwenzake so stil anapga kaz za chma
 
FALSAFA NZURI YA CHAMA CHA SIASA NI SHARTI IAKISI JAMII HUSIKA NA
UHALISIA WA MATUMAINI / NDOTO ZAO, MAZINGIRA WANAMOISHI,
URAHISI KUKUMBUKIKA / KUELEWEKA KWA FALSAFA YENYEWE NA YENYE KUENDANA VILIVYO NA KIPINDI KATIKA MAISHA WANAMOISHI

Nitangulie kuwapa hongera sana sana tena sana CHADEMA kwa kuweza kuibuka na falsafa ambayo kiujumla ni sura halisi ya matakwa ya Wa-Tanzania na safari yetu ndefu kama jamii moja katika maisha haya.

Hakika kwa ufahamu wangu falsafa ya CDM imekidhi misingi yote muhimu kiasi cha kutosha kututambulishia kwamba CHADEMA ni watu gani katika jamii yetu, wanaamini katika lipi na siku zote tuwafanyie tathmini katika uendeshaji wa shughuli za kila siku katika taifa hili huku wananchi tukizingatia misingi gani hasa zinazotambulika rasmi.

Ndio, Falsafa ya Chama Cha Siasa si sawa na mtu kufanya ziara binafsi kwenye mbuga za wanyama kokote duniani. Wala Jambo hili halipigiwi KOFULI MLANGONI kwamba haukua nalo jana leo hii ukitangaza kuwa nalo basi ni kosa la jinai - laa hasha!! Hivyo mtu kusema kwamba labda kwa kuwa Mwenyekiti Mstaafu, Mhe Edwin Mtei, katika mahojiano yake na vyombo vya habari pengine miaka 5 iliyopita hakulitaja falsafa ya Chama; hiyo peke yake hakizuii chama kuweza kupiga hatua zaidi kwa KUJIPA SURA HALISIA kisiasa nchini.

Kiukweli, kupokezana kule kete la majukumu ndani ya Chama na hiyo ndio maana tunasema CHADEMA ni cha Wa-Tanzania wote na wala si mali ya mtu binafsi kama vilivyo vyama vingine vya mifukoni hapa nchini hivyo kama Mzee Mtei aliweza kutekeleza hatua fulani muhimu kwa uhai wa chama hiki basi nasisi Vijana Wa-Tanzania wenye mali yao tunaendelea kukamilisha mengine na mengi zaidi mazuri bado yako njiani yanakuja - kaeni mkao wa ushindi kote nchini!!

Nielewavyo mimi, falsafa ya Chama Cha Siasa kwa maelezo miepesi ni UJUMLA WA MAWAZO NA FIKRA yanayotafuta kumtambulisha mtu na au Chama na kile anachokiamini, kupenda kuliona likitendeka kwa jamii yake na kwamba yuko tayari kuwekeza muda na rasilmali nyinginezo muhimu kuendeleza fikra na mawazo hayo kwa faida na maendeleo ya jamii katika ujumla wake.

le majibu ya maswali ya msingi kama vile; (1) nyinyi kama Chama cha siasa wananchi tuwatambueni kuwa muu akina nani hasa?? (2) mnaamini katika mambo yepi hasa ambayo lasimamia ambayo ndiyo itakayokua ni chimbuko na muongozo wa shughuli zenu zote kiutendaji kama chama.

Na kwa mantiki hii ndipo nako tunapotangaza kwamba ni mwisho wa SIASA ZA MKUMBO huku tukifungua ukurasa mpya wa siasa za kisasa zenye kuegemea misingi ya wazi na iliotukuka mioyoni mwa Wa-Tanzania tuliowengi.

Hadi hapo nawashauri vijana wenzangu kote nchini na wananchi kwa ujumla kwamba maadam sote tumeshajionea madhara makubwa yalioletwa na falsafa mpya ya Chama fulani nchini; falsafa ya 'Kasi Mpya, Nguvu Mpya na Ari Mpya' pasipo kuelewa hasa dira zima ya wapi tunakopelekwa kama taifa, na hatimaye kutokea ajali ya mwaka kisiasa ambapo chama hicho hivi sasa kimeparaganyika vipande 200 kidogo, ni muda muafaka sote tukajiunga CHADEMA leo hii na wala si kesho.

Hakika CHADEMA pekee ndiyo nyumba salama kisiasa kwa watu wa rika zote, dini zote, rangi zote, jinsia zote na daraja zote za uelewa sawa na vile ambayo hata Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliiona na kutuambia kwa kinywa kipana sote nchini.

:focus: hujasomeka mkuu, labda wengine wamekusoma lakini umetoka nje ya topic....
 
Jamani msimuhukumu mtu bado ni mapema sana kuanza kuuliza fulani mbona haonekani! wacheni majungu.
 
unazungumzia last week!!!!!!!! kaja mbeya kwasababu tushamtumia sana meseji usikurupuke kujibu kama hujui hajaonekana tangu lini
 
Na wewe ulikuwa wapi mbona hujaonekana hapa JF kitambo?

Join Date : 16th September 2010
Posts : 26
Thanks :0Thanked 3 Times in 2 Posts

Rep Power : 0
 
Back
Top Bottom