Mbunge wetu Nyambari Nyangwine Je walijua hili?

mandingo6262

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
424
81
Habari zenu wana jamvi, kwa wakati mwingine ningependa nilete kwenu na suala hili. Katika jimbo la Tarime kuna shule moja ambayo ipo takriban kilometa nne kutoka mjini kati na ipo jirani na nyumba ya mbunge wa jimbo hilo Mh. Nyambari Nyangwine. Shule hiyo ijulikanayo kwa jina la Nkende sekondari imefungiwa na wakaguzi wa shule kanda baada ya kukuta kwamba haina mashimo ya kutosha kwa ajili ya huduma ya choo kwa wanafunzi mnamo tarehe 8/5/2013 hadi sasa.
Maswali ya kujiuliza?

  1. Kama shule hii iliyopo jirani na nyumbani kwa mbunge ipo katika hali hii na imefungiwa vipi kuhusu shule ambazo zipo mbali na eneo lake la makazi?
  2. Anayeathirika na kufungiwa shule hiyo ni nani kama si wanafunzi?
  3. Wanafunzi wakianza kidato cha kwanza hutakiwa kupeleka michango mbalimbali kama michango ya majengo, ulinzi, madawati na kadhalika je michango hiyo ina mantiki na inatumika vipi?
  4. Kuna haja ya kuchunguza chanzo cha kufeli kwa wanafunzi hao na wakati sababu zinaonekana wazi?
 
hiyo shule naifahamu iko kende na pia inaitwa nkende sec tena imetoa zero shule nzima bila kukosea aliijenga chacha wangwe...na sababu kubwa ya huyu mbunge kutokuinga mkono na kuisaidia ni kwa sababu eneo hilo lote alikumpa support nyangwine wakati wa uchaguzi na kwa sababu ni mtu wa visasi basi ameamua kukaa kimya....kwa ushauri wangu ni vyema diwani wa eneo hilo ambaye bila kukosea ni chomete apambane aweze kuwachimbia watoto mashimo ya choo.
 
nikweli! me cjui uyo jamaa anafanya nn ata kama nikisasi usifanye kwa wanafunzi ambao hata kura hawapgi pili ilo jamaa zembe sana linawaza tumbo lake adi saiz cjaona jambo lamsingi alio fanyia wanatarime next tym tumfukuze ndugu zanguni.
 
Badala ya kuifunga hiyo shule na pia kwakuwa iko karibu na nyumbani kwa Mbunge, kwanini basi asiwaruhusu wanafunzi na waalimu KUJISAIDIA nyumbani kwake MBUNGE. au Mbunge naye hana choo!
 
Tehe.tehe..teheee...!
 
Halimashauri yake vipi maana nasikia huko madini kule nyamongo ni nje nje na wale wachina wanapanua mgod kwa kasi ya ajabu takribani vijiji vitatu vilivyokuwa vinauzunguka huo mgodi kwa nn hata chooo tu ishindwe kuchimba!!! Sitaki kuamin,,, emu ndugu zangu wa hapa jamvini na wapenda maendeleo achilia mbali wale wapaka mafuta ,, hili jambo ni kwa tz tu shule kufungiwa au hata ulaya yapo? Serikali kushindwa kutekeleza wajibu wake
 
Habari zenu wana jamvi, kwa wakati mwingine ningependa nilete kwenu na suala hili. Katika jimbo la Tarime kuna shule moja ambayo ipo takriban kilometa nne kutoka mjini kati na ipo jirani na nyumba ya mbunge wa jimbo hilo Mh. Nyambari Nyangwine. Shule hiyo ijulikanayo kwa jina la Nkende sekondari imefungiwa na wakaguzi wa shule kanda baada ya kukuta kwamba haina mashimo ya kutosha kwa ajili ya huduma ya choo kwa wanafunzi mnamo tarehe 8/5/2013 hadi sasa.
Maswali ya kujiuliza?

  1. Kama shule hii iliyopo jirani na nyumbani kwa mbunge ipo katika hali hii na imefungiwa vipi kuhusu shule ambazo zipo mbali na eneo lake la makazi?
  2. Anayeathirika na kufungiwa shule hiyo ni nani kama si wanafunzi?
  3. Wanafunzi wakianza kidato cha kwanza hutakiwa kupeleka michango mbalimbali kama michango ya majengo, ulinzi, madawati na kadhalika je michango hiyo ina mantiki na inatumika vipi?
  4. Kuna haja ya kuchunguza chanzo cha kufeli kwa wanafunzi hao na wakati sababu zinaonekana wazi?

Mambo mazito haya Kamanda mandingo6262!
 
Last edited by a moderator:
zamlock hii shule ya nkende secondary school iko katika kata ya turwa ambayo diwani wake anaitwa Charles mbusiro (ndesi) chomete ni kata ya saba saba huyu mbunge bado analipa visasi kwani hata mazingira ya jimbo lake sio mwenyeji saana huyu ni mbunge wa ccm na polisi
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana jamvi, kwa wakati mwingine ningependa nilete kwenu na suala hili. Katika jimbo la Tarime kuna shule moja ambayo ipo takriban kilometa nne kutoka mjini kati na ipo jirani na nyumba ya mbunge wa jimbo hilo Mh. Nyambari Nyangwine. Shule hiyo ijulikanayo kwa jina la Nkende sekondari imefungiwa na wakaguzi wa shule kanda baada ya kukuta kwamba haina mashimo ya kutosha kwa ajili ya huduma ya choo kwa wanafunzi mnamo tarehe 8/5/2013 hadi sasa.
Maswali ya kujiuliza?

  1. Kama shule hii iliyopo jirani na nyumbani kwa mbunge ipo katika hali hii na imefungiwa vipi kuhusu shule ambazo zipo mbali na eneo lake la makazi?
  2. Anayeathirika na kufungiwa shule hiyo ni nani kama si wanafunzi?
  3. Wanafunzi wakianza kidato cha kwanza hutakiwa kupeleka michango mbalimbali kama michango ya majengo, ulinzi, madawati na kadhalika je michango hiyo ina mantiki na inatumika vipi?
  4. Kuna haja ya kuchunguza chanzo cha kufeli kwa wanafunzi hao na wakati sababu zinaonekana wazi?
Labda sijakuelewa - ina maana uwepo wa hiyo shule karibu na nyumba ya mbunge ina uhusiano gani na kukosa choo, na vipi, ina mkuu wa shule na walimu na kazi zao ni zipi au wameshindwa nini kuongoza kitu kiduchu kama hicho ,..na hiyo nyumba ni ile mbunge amepanga au ni yake anaimiliki sababu yule jamaa hana nyumba tarime,..sio kila kitu anaachiwa kiongozi, mengine ni ya jamii inayotuzunguka
 
Habari zenu wana jamvi, kwa wakati mwingine ningependa nilete kwenu na suala hili. Katika jimbo la Tarime kuna shule moja ambayo ipo takriban kilometa nne kutoka mjini kati na ipo jirani na nyumba ya mbunge wa jimbo hilo Mh. Nyambari Nyangwine. Shule hiyo ijulikanayo kwa jina la Nkende sekondari imefungiwa na wakaguzi wa shule kanda baada ya kukuta kwamba haina mashimo ya kutosha kwa ajili ya huduma ya choo kwa wanafunzi mnamo tarehe 8/5/2013 hadi sasa.
Maswali ya kujiuliza?

  1. Kama shule hii iliyopo jirani na nyumbani kwa mbunge ipo katika hali hii na imefungiwa vipi kuhusu shule ambazo zipo mbali na eneo lake la makazi?
  2. Anayeathirika na kufungiwa shule hiyo ni nani kama si wanafunzi?
  3. Wanafunzi wakianza kidato cha kwanza hutakiwa kupeleka michango mbalimbali kama michango ya majengo, ulinzi, madawati na kadhalika je michango hiyo ina mantiki na inatumika vipi?
  4. Kuna haja ya kuchunguza chanzo cha kufeli kwa wanafunzi hao na wakati sababu zinaonekana wazi?

Hiyo shule kaifunga nani mh Lema?
 
Mmmh......kila kona ni kilio serikali yetu sikivu kweli kweli!! Tumejipanga kuwashangaza watz 2014 maisha bora tuliyoaidi yatatimia wala msiwe na wasiwasi
 
Mmmh.....kila kona ni kilio serikali yetu sikivu kweli kweli!! Dj niwekee wimbo wa bonita ule wa nauza kura yangu pamoja na wa roma mwanangu kuwa uyaone
 
habari zenu wana jamvi, kwa wakati mwingine ningependa nilete kwenu na suala hili. Katika jimbo la tarime kuna shule moja ambayo ipo takriban kilometa nne kutoka mjini kati na ipo jirani na nyumba ya mbunge wa jimbo hilo mh. Nyambari nyangwine. Shule hiyo ijulikanayo kwa jina la nkende sekondari imefungiwa na wakaguzi wa shule kanda baada ya kukuta kwamba haina mashimo ya kutosha kwa ajili ya huduma ya choo kwa wanafunzi mnamo tarehe 8/5/2013 hadi sasa.
Maswali ya kujiuliza?

  1. kama shule hii iliyopo jirani na nyumbani kwa mbunge ipo katika hali hii na imefungiwa vipi kuhusu shule ambazo zipo mbali na eneo lake la makazi?
  2. anayeathirika na kufungiwa shule hiyo ni nani kama si wanafunzi?
  3. wanafunzi wakianza kidato cha kwanza hutakiwa kupeleka michango mbalimbali kama michango ya majengo, ulinzi, madawati na kadhalika je michango hiyo ina mantiki na inatumika vipi?
  4. kuna haja ya kuchunguza chanzo cha kufeli kwa wanafunzi hao na wakati sababu zinaonekana wazi?

huyu mbunge hafai kwanza hafahamu kiswahili fasaha huwa anachemsha sana akiwa bungeni tumepeleza tumegungua kuwa hata vitabu anavyodai kavitunga yeye kumbe ka copy na kupaste kwani kiswahili kilichopo ndani ya hivyo vitabu ni kinyume na kiswahili anachozuingumza yeye. Hivyo amechakachua jamii!! Sasa jiulize kama ameweza kuichakachua jamii yote ya tanzania sembuse hiyo shule ataijali ?? Kumbuka huyo sio mkazi wa huko kiubunge yeye anaishi dar es salaam na ana maofisi mengi dar es salaam huyu si mbunge wa tarime bali ni kakma mbunge wa tarime yaani maana yake neno kama maana yake si mwakilishi harisi alikuja kupora ubunge na kuludi dsm hawa ni aina ya wabunge ambao hawafai kwenye karne hii hasa kuuongoza jimbo nyeti kama tarime.
 
tusitegemee kutimiziwa ndoto zetu na watu ambao hata kutaka kuzijua hawataki,, tutaangamia kwa kupukutika kama majani ya mti mkavu. huu sio wakat wa kuisubiri ccm, maadam wanaelewa kuwa hawatarejea madarakan, siyo raisi kwao kukidhi matakwa yetu
 
Mmmh......kila kona ni kilio serikali yetu sikivu kweli kweli!! Tumejipanga kuwashangaza watz 2014 maisha bora tuliyoaidi yatatimia wala msiwe na wasiwasi
.Kama kuna jambo linalonishangaza katika siasa za Tanzania ni hili la Serikali sikivu na lingine baya ni SeKerikali imesikia kilio chenu.Si kawaida Wananchi kuililia serikali waliyoichagua wenyewe kuililia ndiyo iwepelekee Maendeleo labda hili liko kwa Watanzania tu.
 
huyu mbunge hafai kwanza hafahamu kiswahili fasaha huwa anachemsha sana akiwa bungeni tumepeleza tumegungua kuwa hata vitabu anavyodai kavitunga yeye kumbe ka copy na kupaste kwani kiswahili kilichopo ndani ya hivyo vitabu ni kinyume na kiswahili anachozuingumza yeye. Hivyo amechakachua jamii!! Sasa jiulize kama ameweza kuichakachua jamii yote ya tanzania sembuse hiyo shule ataijali ?? Kumbuka huyo sio mkazi wa huko kiubunge yeye anaishi dar es salaam na ana maofisi mengi dar es salaam huyu si mbunge wa tarime bali ni kakma mbunge wa tarime yaani maana yake neno kama maana yake si mwakilishi harisi alikuja kupora ubunge na kuludi dsm hawa ni aina ya wabunge ambao hawafai kwenye karne hii hasa kuuongoza jimbo nyeti kama tarime.
Mkuu, tatizo sio huyu mbunge bali ni wapiga kura wake, kama wangepiga kura nyingi za kumkataa hata sisiemu wangefanya nini wasingeweza kumbeba, nwy huyu ni mfano wa wabunge wengi ambao kiukweli hawana cha kuwasaidia wapiga kura wao na wengi wao walihamia dar baada ya kutangazwa washindi,
 
Inawezekana hata wapiga kura walitenda haki yao ya kupiga kwingine je? Na tume ya uchaguzi unaiamini vipi,nirejee kwenye hili la shule ya Nkende kukosa choo hadi kufungiwa kwa habari nilizoma jana Daily News hata choo cha shule ni mpaka tupewe msaada na World Bank Tayari wilaya ya Tarime imepokea 860m,ili kujenga vyoo na liabrary na Nkende sec wamebahatika kugawiwa261m ili kujenga choo,yaani hata choo mpaka tupewe msaada wakati tuna mgodi mkubwa wa dhahabu.
 
Mbona utata, 261m kujenga chooo, duh, hawa viongozi nouma, alafu washaipiga kimya ukiuliza utaambiwa oooh, bado tunatafuta mkandarasi mwenye uwezo, oooh bado hiki, tutaandamana tu hadi kieleweke, tena pale pazuri tunafunga barabara ya kwenda Kenya - lazima tu watafika kusikiliza
 
Back
Top Bottom