Mbunge wetu Lameck Airo

Peter jaluo

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
1,750
248
Jamani wana-Rorya mbunge wetu kakaa kimya sana bungeni wenzake wanalilia maji ya bomba yeye hasikiki, Airo tatizo nini?
 
kwani rorya munahitaji maji ya bomba?????. nyie kunyweni uji tu unawatosha. si muliamua wenyewe kuchagua no school badala ya profesa!!!!!. kuapanga ni kuchagua.....
 
gama uweziamini.bdo kule watu wanakunywa maji ya mto mirare uku yye kauchuna 2 hta maji?
 
gama uweziamini.bdo kule watu wanakunywa maji ya mto mirare uku yye kauchuna 2 hta maji?
Nyie mlichagua utajiri wake, siku nyingine chagueni asiyetaka sifa,ila mchapa kazi ambaye atakuwa naye benet si wa nyie kumpapatia kisa mali na pesa zake.

Mlidhani utajiri na mali zake ni za kugawa tu? Bas jipangeni mgawiwe pesa km mlidhani hivyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom