Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,460
- 92,836
Wakuu jana nilishudia askari wa uhamiaji wakifanya ambush kukamata wafanya biashara wadogo wadogo pale mbuyuni. Picha lilianza baada ya bus moja likiwa na watu walio valia sare za uhamiaji kufika km vile picha ya MAFIA VS NINJA likisdinidkizwa na gari ndogo. Walipofika waliwaweka chini ya ulinzi wafanyabiashara wote huku wakipewa amri ya kupanda bus huku wakiacha biashara zao sadaka kwa watu.
Ushauri kwa mama SAMIA Rais wetu mpendwa hawa ndiyo wapiga kura wako na CCM.
Tunaomba mbunge wetu Gwajima atupe maelezo ya hii kitu km ni sawa.
Soma hapo juu post #1 umeandika nini?Ndiyo maana nimesema zinazofanana na sare za uhamiaji.