Mbunge wenyeufahamu mdogo ni lazima aunge mkono bajeti 100%- Falsafa tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wenyeufahamu mdogo ni lazima aunge mkono bajeti 100%- Falsafa tu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirikwanza, Jun 19, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mara nyingi watu wasiofahamu kitu, hukubaliana na mpango maana akibisha atabisha nini? wakati hana ufahamu wa kitu hicho, ni kama uende hospitali harafu baada ya vipimo dkt atoe dozi hata kama kakosea dozi utabisha nini kama hufahamu kuhusu tiba hiyo???

  Je ni ukweli kwamba wabunge wa CCM ni mbumbumbu sana, kiasi kuwa wanalazimika kusema tunaikubali bajeti 100% ili kufunika kombe mwanaharamu apite, hawajui wapi ni hoja na wapi ni kelele.

  Wabunge hawa wa 100 kwa 100, wanapata wapi ubunge na kwa njia gani? maana hata kwa hali ya kawaida tu 100% inatoka wapi, iwapo aloandaa bajeti ukimuuliza kama iko fit 100% atasema haiwezekani kuwa 100% ndo maana nikaileta bungeni ijadiliwe mapungufu yaonekane na kufanyiwa kazi.

  Wabunge wa MIA kwa MIA ni vilaza, ama wachumia tumbo, ni wale ambao ngeleja na DJ waliwachangishia fedha ili kuwapa, ndo hao hakuna mwingine aliyeandaliwa fedha za kupitisha bajeti.

  2015 tunaomba wenye wabunge wa aina hiyo wawafutilie mbali.
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1 CD YA UKABILA
  2 CD YA UDINI
  3 CD YA UKANDA
  KWA KUWA WATANZANIA WENGI NI WAELEWA CCM IMEANGUKIA PABAYA KWA KUKOSA WANUNUZI WARNING:SASA CCM INAWATUMIA UAMSHO KUWAGAWA WATANZANIA BILA KUJUA WAZANZIBARI WAMEINGIZWA MJINI HIYO NI HUJUMA YA CCM KUOGOPA MABADILIKO YANAYOKUJA 2015 THE ONLY WAY NI KUWAGAWA WATANZANIA KWA KUWATUMIA AKINA SHEIKH MPONDA NA WAJINGA WENZAKE
  :bump:
   
 3. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Ili kupunguza/kuahirisha hasira kali za wananchi dhidi ya ccm kwa sasa, nawashauri TISS waandae mkakati wa kukata umeme/au kukatisha mawasiliano ili vipindi vya bunge (silly) visiwafikie umma wa watanzania.

  It's a public kind of spectacle of greater humilition for CCM (silly).
   
Loading...