Uchaguzi 2020 Mbunge wako amefanya nini kwa miaka hii mitano mpaka sasa?

venance7

JF-Expert Member
May 15, 2019
554
1,636
Kuelekea mwaka huu wa uchaguzi,leo hebu tuwaangalie viongozi wetu wa majimbo(wabunge),tuliowapa dhamana ya uongozi ndani ya miaka mitano.Huku nilipo ni ktk jimbo la Ukonga jijini

Dar_es_salaam,na mbunge wa huku ni ndugu Mwita waitara kwasasa ni naibu waziri wa Tamisemi,huyu mtu mpaka sasa tangu anaingia mpaka anatoka hakuna kilichobadilika, kuanzia

kivule,kitunda,gongo la mboto na maeneo yake kama ulongoni changamoto kubwa ilikuwa madaraja na ubovu wa barabara, mvua zikinyesha kama una usafiri inabidi utafute parking sehemu nyingine hakuna madaraja na barabara mbovu,wakati anaanza kampeni kawanunulia sana wazee kahawa za kutosha wakaingia mkenge na vuguvugu lile la mabadiliko.

Baadaye alipounga juhudi ndio hata kurudi jimboni hajawahi,leo hii amerudi kwao huko mara ameanza kampeni za chinichini huku Ukonga anauhakika hapiti tena,huko mlipo wakuu hali ipoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stanslaus Mabula mbunge wa Nyamagana jiji la Mwanza kapigania sana tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama maeneo sugu kama buhongwa,mahina,kishili bulale,sawa ya chini na ya juu.

Bwana stanslaus mabula imefanikiwa kuionganisha barabara muhimu ya buhongwa kishiri kwa kiwango cha changarawe.
Ameboresha zahanati nyingi kwa kuongeza vifaa tiba na majengo.

Bwana Mabula kajitahidi sana ukilinganisha na wabunge waliopita kwa kuhakikisha vijana wanapata mikopo kupita mfuko wa vijana wa mkoa.kwa kweli Stanslaus Mabula ana mengi mazuri na ana stahili pongezi za dhati,ametufanyia mengi wana nyamagana na anastahili pongezi.

Yapo mengi sana lkn naomba niwasilishe haya machahce

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stanslaus mabula mbunge wa nyamagana jiji la mwanza.
Kapigania sana tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama maeneo sugu kama buhongwa,mahina,kishili bulale,sawa ya chini na ya juu.
Bwana stanslaus mabula imefanikiwa kuionganisha barabara muhimu ya buhongwa kishiri kwa kiwango cha changarawe.
Ameboresha zahanati nyingi kwa kuongeza vifaa tiba na majengo.
Bwana mabula kajitahidi sana ukilinganisha na wabunge waliopita kwa kuhakikisha vijana wanapata mikopo kupita mfuko wa vijana wa mkoa.kwa kweli stanslaus mabula ana mengi mazuri na ana stahili pongezi za dhati,ametufanyia mengi wana nyamagana na anastahili pongezi.
Yapo mengi sana lkn naomba niwasilishe haya machahce

Sent using Jamii Forums mobile app
Buhongwa shida ya maji imepungua? aisee nimekaa hapo miaka miwili,maji tulikuwa tunafata mkolani kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Igunga tumetelekezwa na Dalali Kafumu Mzee wa MAKINIKIA. Hata barabara YA kwenda Kijijini kwao Itumba ni mbaya haipitiki,Barabara za Wilayani Igunga ndio OVYO ovyoo wala hana habari.

Wapambe wake wameanza kuzungua kugawa rushwa kwa Viongozi wa KATA elfu hamsini kila Mjumbe ili kumsafisha, Japo kwa CCM ya Dkt Magufuli sidhani kama rushwa zake zitamsaidi. Watanzania sio Wajinga
 
Igunga tumetelekezwa na Dalali Kafumu Mzee wa MAKINIKIA. Hata barabara YA kwenda Kijijini kwao Itumba ni mbaya haipitiki,Barabara za Wilayani Igunga ndio OVYO ovyoo wala hana habari. Wapambe wake wameanza kuzungua kugawa rushwa kwa Viongozi wa KATA elfu hamsini kila Mjumbe ili kumsafisha, Japo kwa CCM ya Dkt Magufuli sidhani kama rushwa zake zitamsaidi. Watanzania sio Wajinga
Hela za hawa watu zinakuwaga ngumu sana,unaweza kusema utazipokea ila huwapigii kura lakini ukifika ktk sanduku la kura nafsi inakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu wa kwetu Ikungi ameishia kuolewa Ubelgiji, hakuna ahadi hata moja aliyotimiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa ccm mshipa wa akili unakuwa makalioni??, Hebu tuelezee kazi za mbunge akiwa bungeni, na tuelezee kazi za serikali kea raia!!!. Serikali ikishindwa kutimiza mjukumu yake yakuwaletea maendeleo wananchi mapungufu na wqnaopaswa kulaumiwa ni Bunge limeshindwa kuishinikiza serikali kuletaa maendeleo. Na hii ni kwqsababu yakuwa na wabunge wabovu kutoka ccm wanaoendekeza matumbo yao bila kujali raia wao.

Wabunge waccm Bungeni wamekuwa wanaisemea serikali kupitia hoja za wapinzani, je hiki ndio kuisimamia serikali??

Wabunge wa ccm ni wengi Bungeni lakini wqnashindwa na wapinzani walio wachache kwa uchangiaje hoja mbalimbali Bungeni. Wapo kuomba miongozi, utaratibu na kuzomea pale wanaposhindwa kihoja.

Kama Bunge limeshindwa kuisimamia serikali amabayo ndio inajukumu lakuwaletea wananchi maendeleo, mbunge Hana uwezo wakuleta maendeleo wanauohitaji raia wake zaidi ya yeye kuwa kipaza sauti juu ya mahitaji ya watu wake.
 
Ukiwa ccm mshipa wa akili unakuwa makalioni??, Hebu tuelezee kazi za mbunge akiwa bungeni, na tuelezee kazi za serikali kea raia!!!. Serikali ikishindwa kutimiza mjukumu yake yakuwaletea maendeleo wananchi mapungufu na wqnaopaswa kulaumiwa ni Bunge limeshindwa kuishinikiza serikali kuletaa maendeleo. Na hii ni kwqsababu yakuwa na wabunge wabovu kutoka ccm wanaoendekeza matumbo yao bill kujali raia wao.

Wabunge waccm Bungeni wamekuwa wanaisemea serikali kupitia hoja za wapinzani, je hiki ndio kuisimamia serikali??

Wabunge wa ccm ni wengi Bungeni lakini wqnashindwa na wapinzani walio wachache kwa uchangiaje hoja mbalimbali Bungeni. Wapo kuomba miongozi, utaratibu na kuzomea pale wanaposhindwa kihoja.

Kama Bunge limeshindwa kuisimamia serikali amabayo ndio inajukumu lakuwaletea wananchi maendeleo, mbunge Hana uwezo wakuleta maendeleo wanauohitaji raia wake zaidi ya yeye kuwa kipaza sauti juu ya mahitaji yao watu wake.
Mbunge alitoa ahadi zake na hakulazishwa na mtu kutoa hizoa ahadi na ukumbuke ahadi ni deni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge alitoa ahadi zake na hakulazishwa na mtu kutoa hizoa ahadi na ukumbuke ahadi ni deni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja hizi hebu mpelekee Rais ameahidi mangapi?
1.hakuna atakekosa mikopo elimu ya juu kalitimiza??

2.lap top kwakila mwalimu katekeleza?

3.million 50 kila Kijiji katakeleza?

4.Ajira kwa vijana katekeleza?

5. Nyongeza ya mishahara kea watumishi katekeleza??

.........

Wabunge wa ccm ni wahovyooo Sana
 
Mimi ni mkazi wa jimbo la Ukonga, Mbuge wangu Mwita Waitara; Naona Kikubwa alichokifanya ni kuhama CHADEMA na kuhamia CCM basi
 
Huyu wa kwetu Ikungi ameishia kuolewa Ubelgiji, hakuna ahadi hata moja aliyotimiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vile wewe ni 'jinsia' hiyo basi akili yako inawaza ushoga tu. Wazazi wako wamepata hasara kubwa bora hata ungefia chooni.
1572191509422.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buhongwa shida ya maji imepungua? aisee nimekaa hapo miaka miwili,maji tulikuwa tunafata mkolani kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
chif sawa ya juu kuna mtaa unaitwa kibundumundu juu ya mlima yamewekwa matenki makubwa mawili maji yamevutwa mpaka hapo yakitokea igoma kwa ajili ya kusambaza maji bohongwa yote lkn pia sawa ya chini kuna pampu mpya inafungwa na wachina kwa ajili ya kuvuta maji kutoka kwenye chanzo kipya cha maji butimba.sawa ya chini kwa sasa inapata maji kutokea mkolani na mahina.mm nimejenga huko na kila mwezi naenda kukagua vibanda vyangu napahamu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom