Mbunge wangu Mwigulu Nchemba njoo jimboni - spesho kwa wanairamba Magharibi

Mtoa hoja wewe ndio haupo Iramba, Mwigulu tar 23 alikuwa Ng'anguli, Maluga na Kitusha, Tar 24 alikuwa Uwaza na Galangala, tar 25 alikuwa kisharita na kijiji kimoja kati pale, na sisi vijana wa standi na kwenye pikipiki alituwezesha vitendea kazi,(mliwezeshwa pikipiki ngapi maana hvyo ndivyo vitendea kazi vyenu) sokoni amefuta ushuru wa bidhaa ndogondogo(wenye uwezo wa kufuta ushuru ni vikao halali vya madiwani na sio mtu moja/mwigulu). Mnyonge mnyongen ila haki yake mpeni, Mwigulu ni ZAIDI YA MBUNGE ANAFAA HATA UONGOZ MKUBWA ZAIDi(). Anayebisha na anayejidanganya kupitia humu atapata majibu tokea kwa wanyiramba(jisemee mwenyewe usitusemee wenzio) wenyewe. Kwa hili mwigulu wala usijibizane na wenye wivu
...............hizi zawadi ndogo ndogo ndizo zinazowacost kwa miaka mitano.
 
Wapendwa wanairamba, kuna hii ishu ya mheshimiwa wetu, mashuhuri kama campaign manager wa ccm, kaingia mitini akifanya kazi ya kutafutia wengine ubunge wakati hali ya iramba magharibi inazidi kuwa mbaya kimaendeleo. Naleta hoja kwenu kwamba tumuulize mheshimiwa ahadi alizotuahidi wakati wa kampeni zake atazitimiza lini? Au anasubiri 2015 aje tena kudai kwamba hakutimiza ahadi zote hivyo tumpe miaka mingine mitano ili atimize?

Nashauri tumwajibishe ili tabia hii ya umeneja aachane nayo, tusipoangalia atakapokuja tukamwongezea miaka mitano tena, ataingia mitini na atakaporudi atakuwa si meneja tena bali campaign director. Mheshimiwe jitokeze jf utueleze mikakati yako ukifahamu kwamba jimbo tulikuazima kwa imani kwamba utashirikiana nasi kuleta maendeleo lakini tangu tukuazime hatujawahi hata kukuona ukitueleza mikakati ya maendeleo zaidi ya kushuhudia matusi igunga na alumeru mashariki, ukitoa hoja zilizo sinyaa kwa kukosa nguvu, come up mheshimiwz na useme kitu.

Vinginevyo 2015 utaungana na mwenzio aliyekuachia kijiti kwani hatuna utani tena katika maendeleo. Haiwezekani wewe uwe campaign manager wa ulaji wa wenzio wakati unatakiwa uwe campaign manager wa maendeleo yetu. Njoo tazama shule zetu za sekondari zinavyofelisha watoto kila mwaka, vitabu, uwajibikaji "tile ka kintu uwe wi kalansile du mu ukampeni meneja" we hope you will see this and give us your stand before we start seeking for alternatives. C4m daima.

Unatakiwa umpongeze mbunge wako kwa kuaminiwa na chama; yeye ni mweka hazina mkuu wa chama. Msitupe mwachao kwa msala upitao; hao wanaowadanganya chadema ni wa kupita tu, mwigulu atakuja na mambo makubwa ya kuwaendeleza wanaIRAMBA kuweni na subira. CCM sikuzote ni mshika usukani, wengine wafuata nyuma!!
 
mbona niko iramba mpaka sasa au siku hizi iramba iko humu jamvin. Ndg yangu ungenialika jamvini maana jimbon nilishakuja mara tu baada ya bunge. Pia kwa kuwa ni maalumu kwa wanairamba narudia tena sio muda mwafaka kwa mtu yeyote anayeipenda iramba kujadili uchaguzi wa2015 muda huu. Kwa sasa tujadili mi utekelezaji na mipango ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali. Kuhuusu 2015 wanairamba watatoa majibu. Mimi sina hofu nasema tena kama ccm itapata jimbo moja tu 2015 basi itakuwa iramba.aje yeyote cdm mnayemwamini ili kusiwepo kisingizio. Nitafanya kampeni siku tatu tu.

sauti ya wengi ni sauti ya mola, "lae kate," au yuu si we kua lale lale ne?? Mheshimiwa anasema kwa kauli yake kwamba alikuja mara tu baada ya bunge tangu tumpe majukumu ya kutuwaklisha, leo ndo anasema yupo angalau. Kati ya job discription tulizokupa ni kuwa campaign manager? Usiogope kutueleza, nani alikupa kazi hiyo kama sio sisi tulokupeleka huko mjengoni? Angalia matatizo ya maji, shelui, mgongo, makunda, ulemo, kidaru, tyegelo, tulya hadi ksiriri wewe upo unafanya nini? Economist???? Je unabana matumizi kiuchumi hadi tutumie maji yasiyo salama? Njoo omba ushauri kwa wazee, hapa 2015 is your birthday whether jk akupe uwaziri sasa au unaibu kwa sababu ya chaguo lake au akupe uwaziri wa fedha wa viti maalum 2015 lakini nguvu ya wote itabaki kuwa nguvu ya mungu mwighulu. Unasema uko iramba, iramba uko wapi unawezesha vijana spea za pikipikipi waliopo stand ya kitusha na ng'anguli? Njoo jimboni useme ahadi utatimiza lini mheshimiwa. Usifikiri kuwa ktusha, kyengege inatosha umefika kati? Au nawe una kas.fa hapa mjini? Come and say something rather than staying at suburbs thinking you have killed the whole elephant. Campaign za siku tatu unazozisema labda zisiwe salama, lakini kama una muishi mungu basi you have gone back to your roots. Karibu. Najua moyoni mwako unaimba gamba labomoa nchi tena kwa ufunguo "d" yaan ## japo usoni unaimba c4m yajenga nchi. Njoo ujenge hoja sio kuogopa mji na kujificha ficha kwa ofisi yako ya gamba ukijiwekea ulinzi usio na sababu. Viva m4c njoo tu tunakukaribisha kwani hata magamba yasiyofanya maendeleo tunayakaribisha, yanaongoka na tunayatakasa yafanye kazi ya maendeleo
 
akitekeleza ahadi atakuja kuwaahidi nini wakati nyie mnapenda ahadi.juzi nilimuacha dodoma alikuwa na yule mbunge wa viti maalumu wa ccm aliyeibiwa zile pesa nyingi wakiwa baa. Kimsingi anajuwa msipo kuwa na shida hamta mchagua hivyo matatizo yenu ndio mtaji wake. Anafanya ngono na wake za watu. Yeye anasema akiwashika wake zenu vizuri anauhakika wa kushinda kwani wake zenu watawashawishi si unajua anavyo penda wake za watu?

richone hii ni kashfa unayosema hapa. Fikiri kwanza yaani ashike akina nani halafu sisi tumpe kura? Wanairamba magharibi si kama alivyofikiri, elimu ya uraia iko juu sana sasa hivi, aje aombe jimbo kisha aone moto wake lakini waja wana m4c ambao sistahili hata kulegeza gidamu ya kiatu chao. Anasema tusijadili uchaguzi wa 2015 tujadili maendeleo? Maendeleo yepi? Shule zote za sekondari mfelisho mwanzo mwisho, maji, wizi kila kona hadi bwawa la samaki mapato hakuna kisha anasema tujadili maendeleo? Huyu mh vipi? Ujumbe ameupata. Siku tatu yesu(nabii issah) aliahidi kujenga hekalu la kiroho, siku tatu zake za campaign nazo tutajua zina maana gani itakapowadia. M4c.
 
hizo siku tatu unazoahidi kukutosha kufanya kampeni umemaanisha utajitoa baada ya kubanwa maswali, kwa nini na kwa sheria ipi ilikuruhusu kusoma darasa la saba mara mbili, mara ya 1 ukitumia jina la lameck madelu, mara 2 ukitumia jina la mwigulu nchemba. Wapo uliofanya nao mtihani wa kata, na waalimu waliokufundisha. Wanajamvi huyu mwigulu hawezi kujibu hii hoja.

kaka tunaomba utu pm kisha utuambie shule alomalizi tutaviweka hapa hadharani kwani hatupendi waongo sisi. Tumejijpambanua kiukweli japo tupo mbali. Tutonye kashule ka primary tunajua atamwamuru mwalimu mkuu asitoe majibu lakini sisi tutayapata tu kwani ni rahisi. Just pm us. Mwigulu haya pia itabidi uyatolee maelezo. Kaka bila ku pm. Weka waziiiii!
 
Pale mwigulu anapofuta ushuru wa bidhaa ndogondogo????? Mhhh? Mwigulu sema katka haya. ......." wakamuuliza, kwa mamlaka ya nani unatenda haya?....naye akasema...."
 
WAKAMUULIZA TENA : SARAFU HII NI YA NANI??? TUNAPASWA KULIPA KODI?????????? sina jibu tena...
 
"tile ka kintu uwe wi kalansile du mu ukampeni meneja" we hope you will see this and give us your stand before we start seeking for alternatives. C4m daima.
Mmbwane wee tile mpaka mudauu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mbona niko Iramba mpaka sasa au siku hizi Iramba iko humu jamvin. Ndg yangu ungenialika jamvini maana jimbon nilishakuja mara tu baada ya bunge. Pia kwa kuwa ni maalumu kwa wanairamba narudia tena sio muda mwafaka kwa mtu yeyote anayeipenda iramba kujadili uchaguzi wa2015 muda huu. Kwa sasa tujadili mi utekelezaji na mipango ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali. Kuhuusu 2015 wanairamba watatoa majibu. Mimi sina hofu nasema tena kama CCM ITAPATA JIMBO MOJA TU 2015 BASI ITAKUWA IRAMBA.AJE YEYOTE CDM MNAYEMWAMINI ILI KUSIWEPO KISINGIZIO. NITAFANYA KAMPENI SIKU TATU TU.

Kwa hili nakukubali kijana wangu. Ila jitahidi kujipambanua kutoka kundi la marafi. Pia jaribu kukwepa baadhi ya kazi unazotumwa zitakupunguzia sifa. Kwenye chaguzi ndogo zijazo wambie waweke ma-campain managers wengine wasikubebeshe mzigo wapo wakina Chiligati waende na wao. Sifurahii kusikia unatukanwatukanwa matusi ambayo hukutukanawa wakati wa uchaguzi wako. Naoma pia usome alama za nyakati jua upepo unaendaje. wewe ni msomi kijana Masters yako ya Uchumi inafaa kukufanya uwe mtu wa kufanya mahesabu ya uhakika, katika harakati za kisiasa hakuna CETERIS PERIBUS. Things are changing. Keep on Moving we are behind you. Songela zigizigi
 
Ana cheo kingine cha Mjumbe wa Kamati ya Ufundi ya SSC, juzi nilimuona LIVE na kitambaa cha SSC badala ya cha CCM, imekula kwenu hadi SSC iingie nane BORA...
 
Kwa hili nakukubali kijana wangu. Ila jitahidi kujipambanua kutoka kundi la marafi. Pia jaribu kukwepa baadhi ya kazi unazotumwa zitakupunguzia sifa. Kwenye chaguzi ndogo zijazo wambie waweke ma-campain managers wengine wasikubebeshe mzigo wapo wakina Chiligati waende na wao. Sifurahii kusikia unatukanwatukanwa matusi ambayo hukutukanawa wakati wa uchaguzi wako. Naoma pia usome alama za nyakati jua upepo unaendaje. wewe ni msomi kijana Masters yako ya Uchumi inafaa kukufanya uwe mtu wa kufanya mahesabu ya uhakika, katika harakati za kisiasa hakuna CETERIS PERIBUS. Things are changing. Keep on Moving we are behind you. Songela zigizigi

unatoka kijiji sawasawa user name yako, ambako atoka mwigulu, Sema neno moja tu mwigulu alikariri au hakukariri darasa la saba?
 
Mbona niko Iramba mpaka sasa au siku hizi Iramba iko humu jamvin. Ndg yangu ungenialika jamvini maana jimbon nilishakuja mara tu baada ya bunge. Pia kwa kuwa ni maalumu kwa wanairamba narudia tena sio muda mwafaka kwa mtu yeyote anayeipenda iramba kujadili uchaguzi wa2015 muda huu. Kwa sasa tujadili mi utekelezaji na mipango ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali. Kuhuusu 2015 wanairamba watatoa majibu. Mimi sina hofu nasema tena kama CCM ITAPATA JIMBO MOJA TU 2015 BASI ITAKUWA IRAMBA.AJE YEYOTE CDM MNAYEMWAMINI ILI KUSIWEPO KISINGIZIO. NITAFANYA KAMPENI SIKU TATU TU.

Majibu yako HAYANIAMBIA BADO UMEIFANYIA NINI IRAMBA hadi wakuchague kwa kufanya kampeni siku 3 tu na wala WASIMCHAGUE Dr Kitila Mkumbo ambaye atafanya kampeni siku zaidi ya 30?

Tafadhali tueleze siri yako ya kufupisha kampeni kiasi hiki na hatimaye utashinda bila wasiwasi!
 
Labda Uchawi, tunamsubiri atuambie ingawa kuna harufu kama kisha timka tayari.
 
Mbona niko Iramba mpaka sasa au siku hizi Iramba iko humu jamvin. Ndg yangu ungenialika jamvini maana jimbon nilishakuja mara tu baada ya bunge. Pia kwa kuwa ni maalumu kwa wanairamba narudia tena sio muda mwafaka kwa mtu yeyote anayeipenda iramba kujadili uchaguzi wa2015 muda huu. Kwa sasa tujadili mi utekelezaji na mipango ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali. Kuhuusu 2015 wanairamba watatoa majibu. Mimi sina hofu nasema tena kama CCM ITAPATA JIMBO MOJA TU 2015 BASI ITAKUWA IRAMBA.AJE YEYOTE CDM MNAYEMWAMINI ILI KUSIWEPO KISINGIZIO. NITAFANYA KAMPENI SIKU TATU TU.

acha kujitapa wewe Magamba. New era hii
 
Unatakiwa umpongeze mbunge wako kwa kuaminiwa na chama; yeye ni mweka hazina mkuu wa chama. Msitupe mwachao kwa msala upitao; hao wanaowadanganya chadema ni wa kupita tu, mwigulu atakuja na mambo makubwa ya kuwaendeleza wanaIRAMBA kuweni na subira. CCM sikuzote ni mshika usukani, wengine wafuata nyuma!!

Huu ndiyo umekuwa uongo wenu kwa miaka 50,mabingwa wa nahau na misemo kuanzia mwenyekiti mpaka makada.Poor you!
 
Mdugu mbunge,
ulichaguliwa na wananchi wa Iramba Magharibi mwaka 2010 ili uwaongoze na si uwatawale..
Inavyoelekea unataka kuwatawala...hawakukuchagua ili uwachagulie masuala ya kujadili..watajadili chochote, muda wowote, mahali popote bila hofu yoyote..wanapofanya hivyo wanatekeleza uhuru wa maoni & mawazo unaolindwa na kuhifadhiwa na katiba ambayo uliahidi na unapaswa kuilinda.

Ni vyema tuujadili uchaguzi wa mwakaa 2015 mapema kabisa kama tunavyofanya.Tofauti kabisa na mazoea yenu ya kufanya mambo kwa mtindo wa zima moto, kama matokeo ya kutokuwa na mipango ya muda mrefu,wengine tunaamini katika kuweka mipango na mikakati ya muda mrefu..Hii thread ni moja ya mipango & mikakati hiyo.
Usiwe na mashaka,endelea kuwatumikia wananchi wako kwa amani & utulivu.
 
Pale mwigulu anapofuta ushuru wa bidhaa ndogondogo????? Mhhh? Mwigulu sema katka haya. ......." wakamuuliza, kwa mamlaka ya nani unatenda haya?....naye akasema...."

Kwa Mamlaka ya Ilani ya CCM ....Mwisho wa kunukuu
 
sauti ya wengi ni sauti ya mola, "lae kate," au yuu si we kua lale lale ne?? Mheshimiwa anasema kwa kauli yake kwamba alikuja mara tu baada ya bunge tangu tumpe majukumu ya kutuwaklisha, leo ndo anasema yupo angalau. Kati ya job discription tulizokupa ni kuwa campaign manager? Usiogope kutueleza, nani alikupa kazi hiyo kama sio sisi tulokupeleka huko mjengoni? Angalia matatizo ya maji, shelui, mgongo, makunda, ulemo, kidaru, tyegelo, tulya hadi ksiriri wewe upo unafanya nini? Economist???? Je unabana matumizi kiuchumi hadi tutumie maji yasiyo salama? Njoo omba ushauri kwa wazee, hapa 2015 is your birthday whether jk akupe uwaziri sasa au unaibu kwa sababu ya chaguo lake au akupe uwaziri wa fedha wa viti maalum 2015 lakini nguvu ya wote itabaki kuwa nguvu ya mungu mwighulu. Unasema uko iramba, iramba uko wapi unawezesha vijana spea za pikipikipi waliopo stand ya kitusha na ng'anguli? Njoo jimboni useme ahadi utatimiza lini mheshimiwa. Usifikiri kuwa ktusha, kyengege inatosha umefika kati? Au nawe una kas.fa hapa mjini? Come and say something rather than staying at suburbs thinking you have killed the whole elephant. Campaign za siku tatu unazozisema labda zisiwe salama, lakini kama una muishi mungu basi you have gone back to your roots. Karibu. Najua moyoni mwako unaimba gamba labomoa nchi tena kwa ufunguo "d" yaan ## japo usoni unaimba c4m yajenga nchi. Njoo ujenge hoja sio kuogopa mji na kujificha ficha kwa ofisi yako ya gamba ukijiwekea ulinzi usio na sababu. Viva m4c njoo tu tunakukaribisha kwani hata magamba yasiyofanya maendeleo tunayakaribisha, yanaongoka na tunayatakasa yafanye kazi ya maendeleo

Patriq kama mlikuwa mnategemea Mwigulu awamalizie shida zenu imekula kwenu Jaribu kuwafahamisha wanairamba kuwa mlilamba Joka kisha Mwigulu akamaliza.Yeye anadai ni 1st Class economist from UDSM na kwakifupi iramba hamuitaji sera mnaitaji Porojo!Mnahaki ya msingi kumwajibisha
 
Mwigulu Nchemba nae ni mzee wa misele tu, ubunge wake ni wamashaka, skendo kila siku, mara matusi, mara wake za watu duuh!
 
"Mbona niko Iramba mpaka sasa au siku hizi Iramba iko humu jamvin. Ndg yangu ungenialika jamvini maana jimbon nilishakuja mara tu baada ya bunge. Pia kwa kuwa ni maalumu kwa wanairamba narudia tena sio muda mwafaka kwa mtu yeyote anayeipenda iramba kujadili uchaguzi wa2015 muda huu. Kwa sasa tujadili mi utekelezaji na mipango ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali. Kuhuusu 2015 wanairamba watatoa majibu. Mimi sina hofu nasema tena kama CCM ITAPATA JIMBO MOJA TU 2015 BASI ITAKUWA IRAMBA.AJE YEYOTE CDM MNAYEMWAMINI ILI KUSIWEPO KISINGIZIO. NITAFANYA KAMPENI SIKU TATU TU."

Nashukuru kwa kujitokeza humu jamvini. Suala sio kuwepo Iramba au kushinda au kutoshinda uchaguzi 2015. La msingi tuambie mikakati uliyonayo ktk kutatua matatizo LUKUKI yanayotuzunguka jimboni. Narudia tena WHAT ARE YOUR STRATEGIES TO GO ABOUT FINDING THE SOLUTIONS OF OUR PROBLEMS" Na mipango hii iwe ni ya muda mfupi na mrefu. Nisingependa kuyataja matatizo kwani naamini unayajua ipasavyo. ACHANA NA POROJO AMBAZO HATA WATANGULIZI WAKO WAMEKUWA NAZO MIAKA NENDA RUDI YA UTAWALA WA CCM.

Katika mipango yako tafadhali usijeukaniudhi kwa kusema nitachangia kitu fulani, hatuhitaji hela kutika mfukoni mwako.

Shukia
 
Back
Top Bottom