Mbunge wangu Mwigulu Nchemba njoo jimboni - spesho kwa wanairamba Magharibi

Mbona niko Iramba mpaka sasa au siku hizi Iramba iko humu jamvin. Ndg yangu ungenialika jamvini maana jimbon nilishakuja mara tu baada ya bunge. Pia kwa kuwa ni maalumu kwa wanairamba narudia tena sio muda mwafaka kwa mtu yeyote anayeipenda iramba kujadili uchaguzi wa2015 muda huu. Kwa sasa tujadili mi utekelezaji na mipango ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali. Kuhuusu 2015 wanairamba watatoa majibu. Mimi sina hofu nasema tena kama CCM ITAPATA JIMBO MOJA TU 2015 BASI ITAKUWA IRAMBA.AJE YEYOTE CDM MNAYEMWAMINI ILI KUSIWEPO KISINGIZIO. NITAFANYA KAMPENI SIKU TATU TU.
mmmmh?! kweli igunga na arumeru zimekuivisha!!
 
Mwigulu Arumeru Uliahidi kama Sioi hatashindwa utajinyonga mbona utekelezaji wa hiyo ahadi yako umekuwa mgumu?Unakuja na Nyingine kuwa utafanya kampeni siku 3 tu?C`oom be serious!
 
Mheshimiwa najua unasema kwa kujiamini hivyo kwa 7bu unajua wanairamba wengi hawana elimu kwa hiyo unawarubuni na vitu vidogovidogo na wanakukubali lakini kumbuka kwamba kuna wakati utafika wana iramba wataelimika na hawatakuelewa tena na ulaghai wako.Unajua kabisa kutoka moyoni kuwa kwenye campaign zenu mnatumia rushwa na rough nying sana lakn kumbuka kila k2 kina mwisho na mwisho wa ulaghai wako unakaribia.
 
Mbona niko Iramba mpaka sasa au siku hizi Iramba iko humu jamvin. Ndg yangu ungenialika jamvini maana jimbon nilishakuja mara tu baada ya bunge. Pia kwa kuwa ni maalumu kwa wanairamba narudia tena sio muda mwafaka kwa mtu yeyote anayeipenda iramba kujadili uchaguzi wa2015 muda huu. Kwa sasa tujadili mi utekelezaji na mipango ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali. Kuhuusu 2015 wanairamba watatoa majibu. Mimi sina hofu nasema tena kama CCM ITAPATA JIMBO MOJA TU 2015 BASI ITAKUWA IRAMBA.AJE YEYOTE CDM MNAYEMWAMINI ILI KUSIWEPO KISINGIZIO. NITAFANYA KAMPENI SIKU TATU TU.

hizo siku tatu unazoahidi kukutosha kufanya kampeni umemaanisha utajitoa baada ya kubanwa maswali, kwa nini na kwa sheria ipi ilikuruhusu kusoma darasa la saba mara mbili, mara ya 1 ukitumia jina la lameck madelu, mara 2 ukitumia jina la mwigulu nchemba. wapo uliofanya nao mtihani wa kata, na waalimu waliokufundisha. Wanajamvi huyu mwigulu hawezi kujibu hii hoja.
 
Mbona niko Iramba mpaka sasa au siku hizi Iramba iko humu jamvin. Ndg yangu ungenialika jamvini maana jimbon nilishakuja mara tu baada ya bunge. Pia kwa kuwa ni maalumu kwa wanairamba narudia tena sio muda mwafaka kwa mtu yeyote anayeipenda iramba kujadili uchaguzi wa2015 muda huu. Kwa sasa tujadili mi utekelezaji na mipango ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali. Kuhuusu 2015 wanairamba watatoa majibu. Mimi sina hofu nasema tena kama CCM ITAPATA JIMBO MOJA TU 2015 BASI ITAKUWA IRAMBA.AJE YEYOTE CDM MNAYEMWAMINI ILI KUSIWEPO KISINGIZIO. NITAFANYA KAMPENI SIKU TATU TU.

Unatisha mkuu siku 3 tu!
 
Akha haya majibu ni kwako Mwigulu?Kwamba magamba wakipata kiti kimoja basi ni Iramba!Si bure kuwa na ujasiri wa aina hii naona unaandaa mazingira ya kupita bila kupingwa.2015 hakuna huu upoyoyo huu jipange upya.
 
magamba wakimpitisha atasababisha cdm wapite bila kupingwa, angalia shule ya msingi amesoma miaka 8, mwaka mmoja alikuwa analoga? mbona alifanya mtihani? jipangeni, na haya maneno ya kejeli anayotoa, watazaa naye!!!!!!!
 
Mbona niko Iramba mpaka sasa au siku hizi Iramba iko humu jamvin. Ndg yangu ungenialika jamvini maana jimbon nilishakuja mara tu baada ya bunge. Pia kwa kuwa ni maalumu kwa wanairamba narudia tena sio muda mwafaka kwa mtu yeyote anayeipenda iramba kujadili uchaguzi wa2015 muda huu. Kwa sasa tujadili mi utekelezaji na mipango ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali. Kuhuusu 2015 wanairamba watatoa majibu. Mimi sina hofu nasema tena kama CCM ITAPATA JIMBO MOJA TU 2015 BASI ITAKUWA IRAMBA.AJE YEYOTE CDM MNAYEMWAMINI ILI KUSIWEPO KISINGIZIO. NITAFANYA KAMPENI SIKU TATU TU.

Usitukane wakunga...!
 
Mwigulu umeonyesha udhaifu mkubwa sana katika kujibu hoja hii. Ulichopaswa kueleza ni umefanikiwa kutimiza ahadi kiasi gani hadi sasa? Kujihakikishia jimbo wakati kuna changamoto kibao ambazo hujazitatua ni kufikiria kwa masaburi badala ya Ubongo. kaka hebu tuambie ni kwa kiasi gani umefanikiwa kutimiza ahadi zako na utueleze ways forward kinyume na hapo utaangukia pua ny 2015. Hakutakuwa na nafasi ya kuhonga tena watu wameshaamka sasa M4C itakuzoa na kukutupia baharini. Hebu tatua kero zako na dio kusema uko jimboni unaweza ukaenda kutalii kama afanyavyo mwenzio wa Mkuranga.
 
Kama jamaa anajiamini atafanya kampeni kwa siku tatu basi hakuna eneo kuna vilaza hapa tz kama iramba
 
Mwigulu umeacha madeni ya magari mliyo kuwa mnatumia kipindi cha uchaguzi mkatoloka saa saba na dakika moja usiku...Njoo ulipe madeni ya wanaarumeru
 
akitekeleza ahadi atakuja kuwaahidi nini wakati nyie mnapenda ahadi.juzi nilimuacha Dodoma alikuwa na yule mbunge wa viti maalumu wa CCM aliyeibiwa zile pesa nyingi wakiwa baa. kimsingi anajuwa msipo kuwa na shida hamta mchagua hivyo matatizo yenu ndio mtaji wake. anafanya ngono na wake za watu. yeye anasema akiwashika wake zenu vizuri anauhakika wa kushinda kwani wake zenu watawashawishi si unajua anavyo penda wake za watu?
 
Back
Top Bottom