Mbunge wangu Godbless Lema, umebaki mpweke gerezani, majuto ni mjukuu

Lema amejipeleka mwenyewe. Anajua nini amekifuata
Mmempela na kila siku mnakazana abaki huko nyie ndio mnajua mnataka AMFANYE NANI HUKO na yeye huo si mpango wake, mwambieni huyo mtu apeleke mahaba yake kwa mwingine ila si Lema, kumtsa Lema hakufuti DENI LA SHIGONGO.
 
Kajipeleka mwenyewe na kama umeisikiliza ile video, kasema bayana kuwa kama ni kesi yupo tayari kusimama Mahakamani
 
Lema inabidi kuachana na siasa za haina hizi, vizuri kufanya kila wananchi wa Arusha walichomchagulia. Vitu vya sheria sio vizuri kuvichezea au kujaribu kuchezea, Gerezani sio pazuri.
 
Unafiki ni kitu kibaya sana, acha leo Lema awe mpweke gerezani kwa kuonewa na viongozi wa ccm, ila atakuwa shujaa uraiani na atavikwa taji la ushindi mbinguni, ole wake aoneaye mtu kwa kuwa ana madaraka, dhambi hii itamtafuna yeye nauzao wake na mwisho ni jehanamu ya milele.
huku uraiani angekua shujaa kama angepigania maendeleo ya raia. Sio hayo matusi
 
Unafiki ni kitu kibaya sana, acha leo Lema awe mpweke gerezani kwa kuonewa na viongozi wa ccm, ila atakuwa shujaa uraiani na atavikwa taji la ushindi mbinguni, ole wake aoneaye mtu kwa kuwa ana madaraka, dhambi hii itamtafuna yeye nauzao wake na mwisho ni jehanamu ya milele.
Kwa kuongezee
Wapi Saddam
Wapi Gaddafi
 
Usikariri maandiko vibaya wewe, sio kila mamlaka inatoka kwa Mungu, na si kila asemalo mtoto kuhusu mzazi wake ni kumkosea heshima, kuna wazazi walevi, wazinzi na wezi mtoto anaweza kuusema ubaya wa mzazi na hapo hata kuwa kamkosea heshima, hata Mungu ameonya yeye auaye kwa upanga nae ata uawa kwa upanga, hakuna kitu kibaya kama kutumia malaka kuangamiza wenye haki.
Soma vizuri nukuu nilizozitoa na ulinganishe utovu wa nidhamu wa Lema dhidi ya Rais. Hata Mungu mwenyewe aliwafukuza baadhi ya malaika wake ambao walionyesha kuwa na utovu wa nidhamu na alibaki na wale wenye nidhamu na heshima. Mungu alitengeneza sehemu mbili, JEHANAMU na PEPONI. Wale wanaokosa kuwa na utiifu na nidhamu wanaenda jehanamu na wale ambao ni watiifi na nidhamu wanaenda peponi. Hivyo, kama Lema hana nidhamu kwa mamlaka iliyopo, ni haki yake kwenda gerezani. Hata ADAM na HAWA walipomkosea na kutomsikiliza Mungu, aliwatimua kutoka katika bustani ya EDENI. Sasa huyo Lema yeye ameoteshwa na Mungu yupi anayefurahi wakosefu??
 
Nyinyi endeleeni tu kujifariji na kumfariji mbunge wenu Lema kwa ujeuri wake na utovu wa nidhamu.Anavuna anachokipanda. Katika AMRI kumi za Mungu, moja inasema kuwa "Mheshimu mzazi wako upate kuishi muda mrefu", hapa mzazi ni pamoja na mkubwa. Vilevile Biblia inasema kuwa "Heshimuni mamlaka iliyopo", mamlaka ni pamoja na Mamlaka ya Rais wa nchi. Sasa huyo Lema hilo taji la ushindi huko mbinguni atapewa na nani ikiwa hata Mungu mwenyewe hapendi watovu wa nidhamu kama Lema?
Lema anashikilia biblia, anaisoma lakini haielewi!
 
Kwani kutoa unabii Siku hizi ni kosa? Mbona wanatabiri wengi sana? Je angesema jamaa atakuwa kiongozi wa kudumu Kama Mgabe ingekuwaje? Mungu Mwenye haki anaona Na adhabu Yake yeye Sio lazima iwe physical ! Yeye ndiye jaji mkuu! Yetu macho Na masikio!
 
Inategemeana na aina ujumbe wa kuoteshwa. Mtu kama tayari una ugomvi naye halafu ukaja na utabiri wenye kutia hofu juu ya huyo adui yako tena ukamtaja kwa jina, unadhani huyo mtu atakuchukuliaje?
 
Kwani kutoa unabii Siku hizi ni kosa? Mbona wanatabiri wengi sana? Je angesema jamaa atakuwa kiongozi wa kudumu Kama Mgabe ingekuwaje? Mungu Mwenye haki anaona Na adhabu Yake yeye Sio lazima iwe physical ! Yeye ndiye jaji mkuu! Yetu macho Na masikio!
Lema anaisoma namba gerezani
 
Unafiki ni kitu kibaya sana, acha leo Lema awe mpweke gerezani kwa kuonewa na viongozi wa ccm, ila atakuwa shujaa uraiani na atavikwa taji la ushindi mbinguni, ole wake aoneaye mtu kwa kuwa ana madaraka, dhambi hii itamtafuna yeye nauzao wake na mwisho ni jehanamu ya milele.
Na olewao wajifanyao waijua kesho yao!!!
 
Back
Top Bottom