Mbunge: Wafanyakazi EWURA wanalipiwa gym USD 200 kwa mwezi

Sielewi technicalities za hiyo EWURA yenyewe lakini what the fvck are they regulating wakati hakuna maji na nishati yenyewe hata kuwapa, sorry KUWAUZIA umeme asilimia 10 ya watz ni mzozo? they can simply drop dead or go & fvck themselves.
 
EWURA ni mfano halisi wa kushindwa kwa uongozi wa sekta ya umma Tanzania.
 
...hivi kufanya mazoezi kwa faida ya afya ya mwili wako ulipiwe na ofisi? where else this happens??? may be only in Tanzania??? In Tanzania, everything fishy is possible!!
 
Tatizo kubwa lililopo Tanzania kwa sasa ni uanzishwaji wa wakala na mamlaka kisheria kwa maneno mazuri ya kulinda wananchi wa kawaida lakini matokeo yanakuwa kinyume.
Kuna haja ya kudhibiti wakala na mamlaka za serikali ili zisifanywe miradi ya kunyonya wananchi kwa lengo la kunufaisha wachache kama inavyoelekea sasa.
EWURA ni mzigo kwa wananchi kwani wananchi walio wengi ambao manunuzi yao yanakatwa EWURA charges kipato chao kwa mwezi ni kidogo kuliko malipo ya gym.
Tusipochukua tahadhari, huko tuendako kutatokea matabaka ya wanaofaidi nchi na wanaonyonywa au watumwa katika nchi yao wenyewe na kudhibiti hali hiyo itabidi mtutu utumike!
 
Acheni hizo kufuru jamani people are struggling for a day meal ninyi mnafikiria Gym? Kwani kama ni gym si wakate certain percent from their salaries wawe na ya kwao hapo maana hiyo ni private welfare. Katika basics za chakula malazi na love hapo gym ina rank namba ngapi? Kuna uchafu umejaa mtaani wange volunteer kila jioni kusafisha mitaa hiyo ni gym tosha maana watainama kuokota wata tembea kupeleka uchafu kwenye ma dust bin etc mambo mengine muwe mnaona aibu kuyaleta humu; hospitali hazina dawa na umeme ndo wa gali hivyo kwakuwa some amount inaenda EWURA alafu wao wanazipeleka gym tena utakuta hizo gym ni zao hao hao vibosile!

Ahsante Mkuu,

Ukiangalia michango ya watu wengi utaona mawazo yao ni ya ajabu kabisa, hawawezi kuona tatizo hapa wakati huohuo wanajua hali halisi ya watanzania walio wengi na si ajabu wengine ni walalahoi tu.
Kuna haja ya kuunda mtandao wa watu wenye constructive ideas ili kuinusuru jamii.
 
tupime utendaji, competence ya watu hao na je wanapatikana kirahisi? Huwenda ni retention strategy! Kuna watu wameinvest mno kwenye skills na knowldge wanaweza kustahili malipo hayo
Output WAPI??
 
We have got a long way to go....some of our heads must be chopped in order for our kids to get things right!
 
hii inaonyesha EWURA wanatuchaji kwenye umeme na maji ili wapate pia pia pesa ya kufanya matanuzi na waende gym. kwa ujumla huu ni wizi hatuwezi kutoil ili wao wapate raha gym. Kwa nini wasilipie kwa mishahara yao binafsi ??????
 
Ndiyo maana Viongozi wote wanakimbilia Loliondo kupata vikombe wanaona Mazoezi na Michezo ni Anasa! Obama juzi kachanika mdomo akicheza Basketball, Matumizi mabaya ya fedha za umma yapo mengi mara mia ya hayo ya Gym, kutenga hela za FENICHA za kuimport kila mwaka, posho za hoteli za viongozi laki 2 kwa siku na wanakaa hadi mwaka, kununua magari kwa milioni 150 na kuuza kwa milioni 3 baada ya ktumika kwa miaka mitatu tu, wabunge kupewa magari kila baada ya miaka mitano,posho za chai za mabilioni etc etc. Wabunge waanze na posho zao za kila siku ambazo wanakaa wakisinzia tu na viti vingi vikiwa wazi ndiyo wapigie kelele kwingine!
 
hizo ni gym pekee. bado za mawasiliano,nyumba,responsibility allowances,outfit allowances if possibly plus honorarium wanazojilipa. nchi ishaoza. bado kuna mawakala kibao wa serikali eg tanroads,tbs,tba,tfda,tcra etc. lazima tuuane km rwanda ndo tupate akili.
 
kumbe hela ipo , basi nasi walimu tulipiwe usafiri mjini jamani. Kumbe gym ni kipaumbele cha mfanyakazi na nauri zinapanda kwa sababu wanaopandisha wanataka kwenda gym.

Mungu kama kuna mwaminifu mmoja tu Tanzania basi usituangamize
 
The MP missed the point. What he/she should have questioned was where does the 1% they collect from everyone's LUKU going?
That account itself has over 1 Trillion TZ Shillings. Maybe they should lend money to TANESCO so that we can get some electricity
 
The MP missed the point. What he/she should have questioned was where does the 1% they collect from everyone's LUKU going?
That account itself has over 1 Trillion TZ Shillings. Maybe they should lend money to TANESCO so that we can get some electricity

Uanzishwaji wenyewe wa EWURA ni ufisadi, Most of these guys (Top management) of EWURA and Fair Competition were either employees or beneficiary wa ile tume iliyo anzisha ufisadi Tanzania PSRC na kule walikuwa wanalipwa kwa madola baada ya hiyo tume kumaliza kazi ya kuifilisi nchi wakaja na idea ya kuanzisha vyombo vingine ambavyo wataendelea kunywa damu ya watanzania ndipo ikazaliwa hiyo EWURA na Fair competition. Kwanza by all standards hao watu wasingetakiwa kupewa majukumu kama haya kwani wengi wao ndiyo walioshiriki kuifikisha nchi hapa ilipo. Acha tupiganie uhuru then tutawaonyesha hasira zetu zinafananaje!
 
Wakuu: Jioni hii bungeni; Kuna Mbunge wa Nkasi (CCM). Mh. Kesy amesisitiza kuwa nchi yetu si masikini na kusema kuwa EWURA ( Mamlaka ya kudhibiti nishati na madini) kila mfanyakazi (management) analipwa dolla 200 (zaidi ya sh.300,000/=) kwa mwezi, kwa ajili ya kulipia Gym Ostabey. (tofauti na mshahara) Pesa hiyo hulipwa kwenye hiyo gym. (MD wa pale ni Haruna Massebu)
TBC bungeni. Wanajamvi imekaaje hii?

GYM 300,000 ongezeko la mishahara ziro!@!! I hate the double standard Jaakaya KIKWETE. I will hate you again and again and again!!!!!!
 
Wakuu, mashirika na makampuni mengi tu yana health policies za kulinda afya za watumishi wao wa kada za juu. Kukosoa matumizi ya fedha hizo kuimarisha afya ni sawa na kuona afadhali yatumike mamilioni kwenye matibabu ya wafanyakazi hao na kwenye mazishi ya vifo vitokanavyo na magonjwa yatokanayo na maisha ya kufanya kazi sana bila mazoezi. Kama wangelipiwa pombe pengine tungeshangilia?

Kuna taasisi zinawalipa wakurugenzi wake dola kibao pale gymkana. Jipya lipi?

Argument ya mishahara mikubwa, si kila taasisi inapanga kutokana na vyanzo vya mapato yake? Nijuavyo mimi EWURA ni mdhibiti ambaye ni taasisi huru.
 
The MP missed the point. What he/she should have questioned was where does the 1% they collect from everyone's LUKU going?
That account itself has over 1 Trillion TZ Shillings. Maybe they should lend money to TANESCO so that we can get some electricity

This money goes to 1. EWURA, 2. EWURA CCC, 3. FCC, 4 FCCT 5. Treasury (10%) and 6. EWURA GCC.
 
Back
Top Bottom