Mbunge wa Zanzibar ataka SMZ irejeshe kifuta Machozi cha CHADEMA

Anaongea point tupu..wananchi wanapotoshwa sana kuhusu hili
suala la katiba.

sure rejao point zake ziko tupu(empty) ...mm nina iman kubwa juu yako rejao utaishinda njaa na tamaa nafsin mwako.... unga wa ndere uliopewa hauna nguvu sana.you will get over it soon!enjoy rejao!
 
Hizo pesa azirudishe,ila ziwe zake kwani hawakupewa mama yake.dah zingeongeza guvu ya maandamano .Jamani hao ccm na ccm b wanaumwa
 
Msajili aje pia bara kuona kama CUF ina wanachama mikoa yote Zaidi ya Tabora, Lindi, Mtwara, Dar na Pwani kwa wakwere. Sheria inataka wanachama mikoa 20 bara na huku bara ya Tanganyika wana CUF waliobaki ni Mtatiro na ukoo wake tu.
 
Katika kile kinachoonyesha kuwa Zanzibar wanajazma za kiarabu, mbunge wa kwanza kuchangia hoja ya Katiba jioni hii amemtaka makamu wa pili wa Raisi Zanzibar arejeshe kifuta machozi kilichotolewa na Chadema baada ya kuzama kwa Meli ya Spice Islander,na zaidi anasema kwa kifuta machozi kile hata marehemu waliokufa hawakitaki kwa unafiki wao.Za zaidi anasema Msajili akiangalie zaidi Chadema kwani kinaweza kuwa hakina sifa za kuwa Chama na hakina mtu zanzibar.Wameitisha maandamo makubwa kulaani kauli ya Lissu.

Nini maana ya Maneno haya na ni nini Tishio la wabunge wa znz kwa bara na Chadema?? Je hata kwa CCM wao wanasomeka vipi kimsimamo??

Nawakilisha..japo nawalaaani mpaka kiama

hakuna kitu kinanikera kama Wazanzibari. Kulia lia tu muda wote. Sisi mbona nchi yetu ya Tanganyika tumeshaipoteza tumenyamaza tu. Hawa jamaa wanataka waonekane special kama waisrael vile wakati thamani yao ni sawa na kisiwa cha ukerewe!
 
siku wajinga hujadili maoni ya welevu!! chadema wametoa maoni yao hivi sasa wajinga wapo busy kuyajadili!!
Wao walitakiwa waendelee kujadili muswada si maoni ya Lissu!!!
 
Wazenji wana akili sana kuliko tufikiriavyo. Kumbukeni walianza kudai kitu kimoja kimoja baada ya mwalimu kuondoka na mpaka sasa wakafikia pahali pa kutengeneza katiba yao mpya na kulitambua taifa lao kuwa ni huru na RAIS mwenye madaraka kamili kama kiongozi wa nchi.

CCM ndiyo nahisi hawajui wafanyalo na kama wanajua basi kuna tatizo kubwa linatukabili wadanganyika. Zenji wana ajenda zao za siri na wanatetea hiyo kitu kwa nguvu zao zote kwa kuwa kuna benefit kubwa wataipata kwa kuwa kuna usawa wa asilimia 50 kila upande katika kuunda hiyo tume. maamuzi yoyote yatakayotoka na kama ni kupigia kura uamuzi ule zenji watashinda kwa kuwa wana umoja na mkumbuke wadanganyika hatuna umoja kwa miaka ya sasa ni lazima katika hiyo 50 percent ya kwetu angalau imeguke japo kidogo na kuwa upande ule.

HAPA WATAPITISHA MASLAHI YAO NA TUTAKUWA TUMELIWA NA MAGAMBA WATAKUJA JUTA MUDA UKIPITA. LISSU YUKO SAHIHI SANA. MUUNGANO HAUVUNJWI NA WAO HAWAPASWI KUDAI 50 PERCENT WAKATI ANATOKA NCHI YA NJE YENYE BENDERA NA WIMBO WA TAIFA NA RAIS MWENYE MADARAKA KAMILI.

AM SORRY GUYS.
 
Wamumkubushe zanzibar walishapeleka barua UN ya kutaka kuvunja muungano, na sasa watu wanajiandaa kwa maandamano makubwa ya kupinga muungano hapo 18th Nov. Je, yote hayo yanachochewa na CHADEMA? Pia ningefurahi kama mtu angepata HANSARD za hawa wabunge, michango yao huko nyuma hasa wakati Sitta akiwa mbunge ilikuwa kushinikiza serikali tatu.

du huyo mbunge kaongea la msing sana cha muhimu chadema wajitathmin upya
 
huko bungeni hakuna cha kujadili zaidi ya chadema?

Bungeni labda, lakini siyo katika vikao vyao (wabunge wa CCM) vya ndani, Juzi katika kikao cha wabunge wa CCM kuna wabunge wengi waliijia juu serikali na mawaziri kwa kushiundwa kuendesha nchi, nchi inafilisika huku wao wakijilimbikizia mali kwa ajili ya urais 2015 na kujiandaa kwa vyeo.

Wabunge hao walisema baada ya kushindwa kuendesha nchi kazi yao kubwa ni kuilaumu Chadema, utadhani CDM ndiyo wanaendesha nchi.

Kuna magazeti ya kesho yatatoa habari hii ya ndani kabisa katika vikao vya wabunge wa CCM -- moto unawaka.
 
Naitabiria Chadema kupata viti vya ubunge Zanzibar kupitia majimbo ya wabunge wanafki waliopiga kelele kuwaaminisha wananchi eti wabara tunawanyonya na leo wanajifanya kuupenda muungano.

Natoa ombi kwa wale wazanzibari wenye mapenzi mema na nchi yao waendeleze mapambano kudai uhuru waon uliomezwa na wa bara kama wanavyoona sababu mimi kama mbara sioni sababu ya kumeza uhuru wa mzanzibari na binafsi na familia yangu nawatakia kila la kheri zanzibar yenye neema inawezekana.

Zanzibar ni nchi yenye mfumo wa ki islam, na hata sisi wa bara na chadema tunaheshimu hilo, na chadema sio chama cha kwa sbabu Nyerer alitunga sasa tumuenzi hata kama jamboi halifai kwa wakati uliopo, chadema tunaangalia nini wananchi wanahitaji, tunaangalia tutawezaje kupunguza ukali wa maisha na kuleta neema halisi kwa watanzania.

Ila sasa nawaomba wazanzibar waipokee chadema kwa wingi, huyo aliyetangaza maandamano yasiyo na tija mpuuzeni, chadema tunasimamia ukweli na ukweli utaleta Muungano Imara, ukweli utatuweka HURU
 
Back
Top Bottom