TANZIA Mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashariki, Semindu Pawa afariki dunia

Namkumbuka vizuri huyu mzee, alikuwa akizungumza bungeni kwa kukuchekesha. Nafikiri alikuwa pia mtu wa kutabasamu tu. Kuna wakati alikuwa makamu mwenyekiti wa bodi ya Tanesco.
 
Watu wanaokufa ni wengi, Hamuwasikii kwa sababu sio Maarufu!
Ndio ukweli wenyewe. Jiwe alaaniwe kwa kulidanganya taifa kuwa TZ hakuna covid 19. Eti Mungu amesikia maombi yetu. Pumbavu.
 
... kabla ya Coron watu walikuwa hawafi? In MATAGA's voice! Tumekosa kabisa leadership kwenye hili janga.
 
Hii corona ingejitahidi kuyafekelea mbali maccm na mapoliccm mpaka maji yaite mma
 
Nimonia kali itasafisha wazee na wenye magonjwa sugu sanaa msimu huu.

Infact mpaka hali ije itulie wagonjwa wa makundi hayo mawili watakuwa wachachee sana.
Hapo ndipo ninapomkumbuka mwanasayansi Darwin na nadharia ya 'survivor of the fittest' : The weak shall perish and only the strongest shall survive.
 
Nimonia kali itasafisha wazee na wenye magonjwa sugu sanaa msimu huu.

Infact mpaka hali ije itulie wagonjwa wa makundi hayo mawili watakuwa wachachee sana.
Kabisa. Inabidi tuwafungie ndani wastitoke toke, nasi tuwasifuate huko waliko
 
Back
Top Bottom