Mbunge wa Wilaya ya Longido kwa tiketi ya ccm afiwa na Mamaye!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Wilaya ya Longido kwa tiketi ya ccm afiwa na Mamaye!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Jul 20, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mama yake mzazi wa MB wa Wilaya tajwa hapo juu amefariki dunia na mazishi yanafanyika leo kijijini kwao huko Wilayani Longido.

  Mama amefariki dunia juzi na mazishi yatafanyika leo akiwa na umri wa miaka 105!

  Pole Mbunge na MUNGU akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu pamoja na ndg jamaa na hata marafiki!

  Bwana ametoa na Bwana awetwaa! Jina lake na lihimidiwe!

  Aaameen!
   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  mkuu hili ni jukwaa sahihi....??? Though pole wafiwa..
   
 3. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  RIP mama/bibi
   
 4. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  rip mama.
   
 5. R

  Rubesha Kipesha Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RIP Bibi. Pole kwa familia.
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  pole wafiwa;
  msikose kum-tag werema
   
Loading...