Mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Singida (CHADEMA) Jesca Kishoa Kafulila apata ajali Dodoma, hali yake ni mbaya

Hapo hakuna connection yeyote na Ma.gufuli Inawezekana kuna wstu wapo kufanya haya matukio ili kuaminisha watu. Wasiwasi wangu ni kuwa watu kama Ngurumo na Chahali wanawajua ila hawataki kutueleza maana tukiwajua movie itamalizika. Na kuna watu wanafaidika na haya matukio.

Wanajua kabisa kwa hali ya maisha yalivyo watu wataamini kila tukio litakua na mkono wa serikali hasa mtu kama wewe ambaye ulishaamini kuwa CHADEMA ingekua madarakani hivi sasa.
Sasa kama mnafahamu kuna watu wanafanya mchezo kwanini mshindwe kuwabaini si mnajidai mna inteligentsia kali hadi mnagunduaga kuwa mikutano ya upinzani itatokea vurugu na huwa mnaizuia mapema sasa nni kinawashinda kuwapata hao watu.....

Haya basi tufanye kina ngurumo walidanganya....je alipotoa hyo tweet polisi imechukua hatua gani maana mnajua afu hamchukui hatua tuwaeleweje?

Hapo nlipobold.....kama sio tume mbovu na polisi kuwabeba tungekua tunaongea mengine sahizi
 
Mwenyezi Mungu amponye. I hope ni ajali ya kweli si wale watu wasiojulikana.
 
Wow! She's beautiful! Dereva wake atakuwa anafaid sana
Hayo mambo yako CCM tu,, hapa nilipo natafakari kumgegeda mbunge wa CCM vitu maalum kutoka mkoa mmojawapo kanda ya ziwa kusini mashariki!
 
Back
Top Bottom