Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kilimanjaro Grace Kiwelu Leo amekutana na kina mama wa kata ya makanya wilaya ya same kwaajili ya kutimiza ahadi yake

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kilimanjaro Grace Kiwelu Leo amekutana na kina mama wa kata ya makanya wilaya ya same kwaajili ya kutimiza ahadi yake.

Ikumbukwe mwaka Jana mwezi wa saba katika uchaguzi mdogo wa kata hiyo ya makanya Mh Grace Kiwelu aliahidi kurudi kwenye kata hio baada ya matokeo vovote itakavokua.

Mh Grace ambaye pia ni mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa Kilimanjaro ametoa 800000 tsh kwaajili ya bawacha kata ta makanya kama sehemu ya kujenga baraza la wanawake kata hiyo ya makanya.

Aidha uongozi wa BAWACHA kata ya makanya wamemshukuru sana Mh Grace na kufanya sala maalumu kwaajili ya mbunge Grace Kiwelu.
IMG-20190214-WA0026.jpg

IMG-20190214-WA0028.jpg
IMG-20190214-WA0027.jpg
IMG-20190214-WA0025.jpg
 
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kilimanjaro Grace Kiwelu Leo amekutana na kina mama wa kata ya makanya wilaya ya same kwaajili ya kutimiza ahadi yake.

Ikumbukwe mwaka Jana mwezi wa saba katika uchaguzi mdogo wa kata hiyo ya makanya Mh Grace Kiwelu aliahidi kurudi kwenye kata hio baada ya matokeo vovote itakavokua.

Mh Grace ambaye pia ni mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa Kilimanjaro ametoa 800000 tsh kwaajili ya bawacha kata ta makanya kama sehemu ya kujenga baraza la wanawake kata hiyo ya makanya.

Aidha uongozi wa BAWACHA kata ya makanya wamemshukuru sana Mh Grace na kufanya sala maalumu kwaajili ya mbunge Grace Kiwelu.
View attachment 1022222
View attachment 1022225View attachment 1022228View attachment 1022229
Sio habari ya kuleta hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapeli mtupu.Hizo hela kapiga nazo picha kaondoka nazo.Eti laki nane kujenga Baraza la wanawake!!!!!Ingekuwa kujenga darasa ningeelewa.
 
Wizi mtupu kujenga Baraza la wanawake unafanya kazi ipi kwa hizo laki nane wizi mtupu .Heri hata angelaghai kusema za kukopesha akina mama .Eti kujenga Baraza la wanawake !!!!! Yaani usaniii na wizi mtupu
umemuona chakubanga yupo juu ya bati?
 
Back
Top Bottom