Mbunge wa viti maalumu CHADEMA, Sabriana Sungura ahamia CUF

Hana madhara...
Miaka yote nyumba Togo ilikuwa ofisi ya bavicha walikodi mnyika Kuingia akawa hamisha bavicha kwenye jengo lao
Ila ashukuru kwa kupata mjengo wake na akishukuru
Chama pia kwa kumbeba maana alikuwa hana A wala B....

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mbunge/kiongozi/diwani/mwanachama, akiwa chadema Ni kamanda ni mtu Safi anatabia nzuri ni kosa kumkosoa.ila akijivua ukamanda uchwara Hana thamani yeyote akishukuru chadema kimembeba na tarariiira nyingi makubwa haya madogo Yana afadhali
 
Nimeisikiliza hii video hadi machozi yanenitoka kwa huu unyanyasaji unaofanyika huko chadema,huyu Dada ni mbunge viti maalumu,anaitwa Sabrina Hamza Sungura toka kigoma,anadai chadema na uongozi wa juu umevuruga ndoa yake,Serikali yangu tukufu naiomba iingilie kati swala hili La chadema kuwanyanyasa wabunge wa kike,ikiwezekana. Mwenyekiti afunguliwe mashitaka ya uchanyanyasaji wa kijinsia


Video hii hapa >>

Sent using Jamii Forums mobile app
mrangi
 
Hivi huko chadema na upinzan kwa ujumla VETTING ya kupata viongoz ipoje ? Next time tafuten wafia chama msimchague MTU kwa tako lake uzur wa sura au weupe wake chaguen wafia chama maana ukiangalia wabunge wa viti maalum wengi wa chadema wana fanana kwa sifa ama TAKO WEUPE AU SURA NZURI


Kuna kitu kimejificha wale wafia chama hata hawachaguliwi akina HILDA NEWTON mbowe hawaoni ??
 
Nimeisikiliza hii video hadi machozi yanenitoka kwa huu unyanyasaji unaofanyika huko chadema,huyu Dada ni mbunge viti maalumu,anaitwa Sabrina Hamza Sungura toka kigoma,anadai chadema na uongozi wa juu umevuruga ndoa yake,Serikali yangu tukufu naiomba iingilie kati swala hili La chadema kuwanyanyasa wabunge wa kike,ikiwezekana. Mwenyekiti afunguliwe mashitaka ya uchanyanyasaji wa kijinsia


Video hii hapa >>

Sent using Jamii Forums mobile app
Machozi hayakukutoka Wabunge wa Ccm kuzuia kwenda kumuona Mbunge mwenzao hospital Nairobi,unamlilia huyo dada?
 
Nimeisikiliza hii video hadi machozi yanenitoka kwa huu unyanyasaji unaofanyika huko chadema,huyu Dada ni mbunge viti maalumu,anaitwa Sabrina Hamza Sungura toka kigoma,anadai chadema na uongozi wa juu umevuruga ndoa yake,Serikali yangu tukufu naiomba iingilie kati swala hili La chadema kuwanyanyasa wabunge wa kike,ikiwezekana. Mwenyekiti afunguliwe mashitaka ya uchanyanyasaji wa kijinsia


Video hii hapa >>

Sent using Jamii Forums mobile app


Una uhakika gani kama ni ya kweli haya?
 
Huu ni muendelezo wa "uninafsi na umimi". Kama ni mtu serious na sio msaka tonge angeondoka kitambo baada tu ya kuanza kununiwa. Siasa sasa ni ajira
 
CCM wanachekesha sana,baada ya kuona watu wamewashtukia wananunua upinzani wakaamua kuwafanyia shopping NCCR,baada ya watu pia kushtukia NCCR ni mpango wa kando wameamua sasa hivi kuwanunua na kuwahamishia CUF.

Hongera CCM,sasa hivi mmekuwa na wake watatu ,CUF,NCCR na TLP.

CUF ni mke mkubwa wakati wowote yupo hata umtende ,TLP ni mke wa pili,hapendwi ila analazimisha mapenzi ,mke mdogo ni NCCR mageuzi kwa sasa mapenzi yapo on fire
Chadema majanga kila anayehama kanunuliwa, mna akili gani hizo? Wakienda CCM, wamenunuliwa, wakienda nccr mageuzi eti CCM imewanunulia, kwani huko CDM wote ni bidhaa hakuna wanaofikiria kwa akili zao wakahama bila kanunuliwa? Au huko CDM hakuna Hali ya kikatiba ya mtu kuhama ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1463673

Mbunge wa Viti maalumu Kigoma, Sabriana Sungura ameambatana sambamba na aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wilfred Rwakatale kuhamia chama cha Wananchi CUF.

Aidha, katika katika shamrashamra za Wabunge hao kupokelewa katika Chama cha CUF, Mh. Sabriana Sungura amesema ameamua kujiunga na chama hicho kwa lengo kupata haki sawa na furaha baada ya kuikosa kwa muda mrefu katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo,CHADEMA.

Amesem, katika chama hakukuwa na haki wala furaha badala yake kilitawaliwa na ubinafsi pamoja umimi.

” Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimetawaliwa na ubinafsi pamoja na umimi,kwani baada ya kufunga ndoa na mtu anayetoka katika Chama Cha Wananchi CUF nilinuniwa pamoja na kutegwa kwa madai kuwa natoa siri za chama,”amesema Sabrina.

Amesema kuwa, baada ya kuona hayo moja kwa moja kwa imani yake aliona jambo hilo ni la ubinafsi na kuamua kutazama pembeni.

Naye, Makamu Nwenyekiti wa CUF Bara, Maftah Nachuma, amesema chama hicho kimejipanga kuhakikisha kinashika dola pamoja na kurudisha heshima iliyokuwepo awali.

Amesema,ujio wa wabunge hao ni mzuri na umelenga kukifikisha Chama Cha CUF mbali kwa kuhakikisha itikadi ya haki sawa kwa wote inatekelezwa.

“Chama Cha CUF kimezaliwa upya Sasa kwa pamoja tunashiriki na kusimama imara kuhakikisha chama kinasonga mbele,”amesema Nachuma.

PIA SOMA - Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika kuiangamiza CHADEMA
Haha Mbowe atabaki na wenzi wenzie tu akina Lema,Halima na shoga wake Bulaya,Msigwa na Sugu
 
Mbowe nakushauri chukua hatua ya kuachia ngazi haraka kukinusuru chama, kuliko chama kikuifie mikononi mwako ni fedheha kubwa zaidi, sio aibu Kwa ww kujiuzulu.... Ni wazi kabisa viongozi wenzako hawakubaliani Na uongozi wako ila wanashindwa kukuambia ukweli...... Jitafakari Kwa maslahi mapana ya chadema
 
Huu ni muda wa kutafuta nafasi ya kurudi bungeni kwa kura au vt maalum
 
"kwani baada ya kufunga ndoa na mtu anayetoka katika Chama Cha Wananchi CUF nilinuniwa pamoja na kutegwa"
😂😂😂
 


Mwezi mmoja tu uliopita alisimama Bungeni kumshukuru KUB (tena kwa jina lake kamili) kwa kumpa unaibu Waziri Kivuli . Huyo huyo anayemtuhumu kwa umimi, udini na kupendelea ma super star!
Kuhama chama ni haki yake wala hakuwa na sababu ya kuwapaka matope aliowaacha kwenye chama chake cha awali.

Amandla...
 
Back
Top Bottom