Pistol
Senior Member
- Oct 13, 2015
- 194
- 86
Familia ishirini zimekosa mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kubomoka na kuezuliwa na mvua, baada ya mvua kubwa kunyesha Wilaya za Mbinga na Songea. Vijijini, halikadhalika mtaa wa Ruvuma juu mjini Songea mkoani Ruvuma.
Mbunge atembelea waathirika wa majanga na kuwapatia mabati mia moja ili kuendelea kujenga nyumba zao.
Mbunge atembelea waathirika wa majanga na kuwapatia mabati mia moja ili kuendelea kujenga nyumba zao.