Ng'wasi Kamani: Vijana endeleeni kumuunga mkono Rais Samia

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana UVCCM Mhe. Ng'wasi Kamani amewaasa Vijana kuendelea Kumuunga Mkono Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea kuleta Maendeleo makubwa sana kwa Vijana na Jamii kwa ujumla.

Ameyasema hayo kwenye Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga.

IMG-20210718-WA0093.jpg
 
Namjua huyu dada Mwanasheria Msomi. VERY VERY BRIGHT. Sijawahi kutana na mwanasheria anaejua sheria kama huyu mtoto. Sijui Ubunge utamfanya astop kupractice. N'gwasi Kamani nakukubali sana.
 
Namjua huyu dada Mwanasheria Msomi. VERY VERY BRIGHT. Sijawahi kutana na mwanasheria anaejua sheria kama huyu mtoto. Sijui Ubunge utamfanya astop kupractice. N'gwasi Kamani nakukubali sana.
Huyu ni kijana kweli au Vijana wamepigwa
 
Anajitambua sana huyu dada. Jina lake nafikiri ni Ng'washi na wala si Ng'wasi.
 
Ng'washi / Ng'wasi huyu Mbunge ni kichwa sana Mwanasheria Msomi ,atafika mbali sana
Hongera zake
 
Ng'washi / Ng'wasi huyu Mbunge ni kichwa sana Mwanasheria Msomi ,atafika mbali sana
Hongera zake
Tangu bunge lianze amepeleka hoja gani ya kisheria au ameongelea jambo gani la kisheria!!

Tuna masheria ya hovyo lukuki na yanaendelea kupitishwa na bunge hilo hilo lenye hao wanasheria wasomi na vichwa.
 
Mtu akishakuwa CCM hata awe na akili vipi, hawezi zitumia kabisa atabaki kuwa dekio la wasio na akili
 
Back
Top Bottom