Mbunge wa Viti Maalum (CUF) Sonia Magogo atia nia kugombea ubunge Handeni Mjini

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
IMG_20200507_215323_793.jpg
#HABARI Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Wananchi CUF, Sonia Magogo ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Handeni Mjini.

#HandeniYetu.
#SoniaMagogoMwakilishiWetu.
 
Back
Top Bottom