Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,169
Kwa hii issue ya huyu mbunge tusisingizie madaktari, alipaswa kupumzika kwa kuwa alikuwa kwenye wiki chache kuelekea kujifungua na hata kwenye ndege walimzuia maana kwenye ndege kama una mimba zaidi ya wiki 34/35 hawakuruhusu kusafiri lakini pamoja na kumzuia lakini bado alisafiri kwa gari kutoka Dodoma. Inasikitisha kumpoteza Mtz mwenzetu (RIP) ila kupunguza mishemishe hasa safari zisizo na lazima wiki chache kabla ya kujifungua ni muhimu sana japokuwa mazoezi ni muhimu ila isiwe kwenye hali ya kujitesa.Daah huruma sana! Ila hizi hospital za serikali majanga. Mwaka jana mwezi wa 10 nilijifungua kwa operation temeke, kwakweli ni Mungu tu alinitoa salama. complication zilikua nyingi yaan nakumbuka dr(mdada) alokua ananifanyia operation alikua amewasha mziki(kwenye simu) thieta anacheza anatafuna bigi jii kifupi alikua anaona kama yuko na mdoli hakua serious kabisa.. yaani nlikua nasali sala zote mle ndani nitoke tu salama, ila uzembe ni mwingi mno kama hapo temeke kumeozaa.
Possibly amefika hospitali hali ikiwa mbaya maana uchungu umemkuta akiwa safarini, lakini pia inaweza ikawa hospitali zetu hizi kama ulivyosema