Mbunge wa Ukonga ampinga Makonda kuhusu wafanyabiashara kufanya usafi kila siku ya Jumamosi

Yamkini wadau wangeshirikishwa vya kutosha.

Masaa haya pengine ni nyeti "Prime Time" kwa biashara za vifaa vya ujenzi/ Hardware ili mafundi wawahi kazini. Pia wauza kifungwa kinywa mfano thubu, mandasi na mtory. Biashara za kina mama mtaa wa Mandazi Road Masaki/Oysterbay zaweza kuathirika. Ukishaweka kizuio masaa haya basi biashara siku nzima yaweza kuwa ziro.

Perhaps, more education and awareness creation is necessary, followed by proper weekly scheduling of the cleaning exercise.

Candid to my Country
 
Usafi ni lazima kwa afya yetu sote. Lakini masharti ya kutofungua biashara ni kosa kubwa la kiuchumi. Pia tozo za kodi tunazolipa zinatakiwa kugharamia usafi. E.g. nalipa kodi na huku nafanya usafi, hata vifaa vya kujikinga na contamination ( wadudu, bakteria, fungus,nk) sina. kesho watakuja na sheria za kwenda au kulipia lindo usiku.
JE NI HUDUMA GANI TUNAPATA KWA KODI YETU?
Ukinunua bundle kodi, ukipanda dalax2 kodi, ukikohoa kodi..
 
Attachments

  • CCM MBELE KWA MBELE OFFICIAL VIDEO NOMA (1).mp3
    4.2 MB · Views: 22
Ukipiga hesabu za mzunguko wa fedha kwa masaa 4 ni kubwa sana. Imagine mauzo ya masaa 4 mara idadi ya madukax idadi ya mama ntiliex mzunguko wa daladala..nk...Huku aliyezuiwa kufungua duka lake amelipia kodi ya usafi. Hili ni JANGA LAKINI MADHARA YAKE HUWEZI KUYAONA KIRAHISI.
 
Usafi ni lazima kwa afya yetu sote. Lakini masharti ya kutofungua biashara ni kosa kubwa la kiuchumi. Pia tozo za kodi tunazolipa zinatakiwa kugharamia usafi. E.g. nalipa kodi na huku nafanya usafi, hata vifaa vya kujikinga na contamination ( wadudu, bakteria, fungus,nk) sina. kesho watakuja na sheria za kwenda au kulipia lindo usiku.
JE NI HUDUMA GANI TUNAPATA KWA KODI YETU?
Ukinunua bundle kodi, ukipanda dalax2 kodi, ukikohoa kodi..
Umesahau kusema ukigeuka huku kodi.
 
Tatizo RC wetu hata karanga hajawahi kuuza, hana elimu ya ujasiriamali, hivyo hujui thamani ya muda au sec katika biashara..!
 
Huyu ana baraka za mkulu jaman mbona mnamtafuta ndomana huwa akimuiga mkulu et kinondon mcnjarbu?utadhan dunian ataish milele?
 
hii ni moja kati ya amri za hovyo kabisa....vikundi vya akina mama na vijana vingefanya kazi hii kwa malipo kiasi na kwa kugawana mitaa
 
Ukipiga hesabu za mzunguko wa fedha kwa masaa 4 ni kubwa sana. Imagine mauzo ya masaa 4 mara idadi ya madukax idadi ya mama ntiliex mzunguko wa daladala..nk...Huku aliyezuiwa kufungua duka lake amelipia kodi ya usafi. Hili ni JANGA LAKINI MADHARA YAKE HUWEZI KUYAONA KIRAHISI.
Hii ni tatizo la akili ndogo kuongoza akili kubwa
 
Hawa watu wamelipia leseni ya biashara wanalipa kodi wanalipa pesa ya usafi halafu bado wanazuiwa kufungua biashara imefika wakati watu wagome kulipa kodi kupinga unyanyasaji
 
Mbona mnalia lia

Mmesahau kuwa laana ya mzee aliyepigwa bado inamtafuna huyu kijana ndio mana kila anachojaribu ni ovyo tu
 
Yalinikuta
Nimekurupuka kwenda kkoo saa 2 niko maduka yote yameweka Padlock nilikoma mwenyew

Niltamani nimwone mwenye amri nimng'ate kwa meno yangu mawili
duuu tupo wengi kumbe

nakumbuka ile sku sa 1:00 asubuh ilnikuta k/koo ili sa mbil na nusu niwe nmemalza nigeuke, daaaa nkalazmika kusubr hadi saa nne, mipango yangu ilharbika
 
Back
Top Bottom