Mbunge wa Uingereza ajiuzulu kwa kutazama video za ngono Bungeni

Hapo kwenye tendo kuna tendo halali linaomtoa mtoto halali wa ndoa na uzinifu unaomtoa mtoto haramu wa nje ya ndoa.
Mfano wako hauendani.
... context ni kila kitu kina mahali na wakati sahihi wa kukifanya. Angeingia na mkewe wa ndoa wakafanya sex Bungeni ingekuwa sawa kwa kuwa ni mkewe? Hizo porn zake angeenda kuziangalia chumbani kwake kungekuwa na tatizo?
 
Back
Top Bottom