Mbunge wa ubungo 2015, JJ Mnyika VS Shehk ponda, piga kura yako"

Status
Not open for further replies.
nchi hii iliyomilikiwa na mtakatifu nyerere na mnajitahidi kutaka kummilikisha padre slaa 2015 ni lazima mtamkejeli shekh ponda mwenye uwezo mkubwa wa kuondoa udhalimu ktk nchii. Mnyika hana uwezo kumlinganisha na shekh ponda.

kweli kabisa shehe ponda kugombea ni ukombozi mkubwa kwa watu wa ubungo wana jf tuungane kumpa sapoti kubwa mkombozi huyu shehe ponda
 
Kashfa, dharau, kejeli kwa Waislamu ndivyo vilivyoifikisha nchi hapa ilipo! litafutwe suluhisho!
Je unaonaje Waislamu kwa wingi wakihamishia adress zao za ukazi ubungo ili wakamchague Sheikh Ponda?
Sensa ilikuwa hivihivi tulisema hapa mwanzo kabisa itafutwe suluhu tukaambiwa "tokeni mapovu mpaka mwisho lakini kipengele cha dini hakiingizwi period" ,"sahani za pilau zikitembezwa tu watatulia" n.k angalia sasa mabilioni ya pesa yanateketea bure!
Na ninafikiri hakuna funzo lilopatikana kutokana na sensa.
Kwani watakuwa wanashindania vyeo vya kidini? kuwa watamchagua kwa sifa ya kuwa m-Islamu!.
Ndugu punguza UDINI jadili hoja, uliyekuwa unamjibu kaongelea hoja yake ya kupinga SENSA na ni ya kisiasa!.
 
Lazima unatatizo upstare!

nchi hii iliyomilikiwa na mtakatifu nyerere na mnajitahidi kutaka kummilikisha padre slaa 2015 ni lazima mtamkejeli shekh ponda mwenye uwezo mkubwa wa kuondoa udhalimu ktk nchii. Mnyika hana uwezo kumlinganisha na shekh ponda.
 
Labda atakukomboa wewe mwenye fikira za vitoto vichanga!
kweli kabisa shehe ponda kugombea ni ukombozi mkubwa kwa watu wa ubungo wana jf tuungane kumpa sapoti kubwa mkombozi huyu shehe ponda
 
Hivi amesema ni mwanachama wa chama gani cha siasa, na kitamteua? Mimi sioni ajabu, kwa vile tumepata kuwa na Wabunge waliokuwa ni viongozi wa kidini.
 
ninachokipenda kwa ndugu zangu waislam ni mabinti wao tu. Ama kwa hakika mabinti wa kiislam wengi wao ni wasafi, wanajipenda na kwenye yale mambo yetu aaah mashallah. nimekuwa nao kadhaa na hata huyu nilienae sasa ni mwislam... Japo nasikitika sitamwao na yeye mwenyewe analitambua hilo.
 
Udini ukae kando kama anaona anaweza na wannchi wakamkubali na agombee tuu.Tumeona wachungaji wangapi ni wabunge sembuse shekhe?Magwanda hapo ndipo mnapotuchanganya akitokea muislamu mwanaharakati mnampinga kwa uwezu wenu wote ila kwa mapdre na wachungaji kwenu poa.SIO KIHIVYO BANA YEYOTE ANAYETAKA NAFASI YA KUGOMBEA APEWE ILIMRADI AVUNJI KATIBA. TUUACHE KABISA HUU UDINI UTATUGAWA SISI KWA SISI.
UGOMVI WA SHEKHE PONDA NI WA KIIMANI ZAIDI HIVYO KAMA SIO MUUMINI HUWEZI KUJUA KIUNDANI OVER
 
ninachokipenda kwa ndugu zangu waislam ni mabinti wao tu. Ama kwa hakika mabinti wa kiislam wengi wao ni wasafi, wanajipenda na kwenye yale mambo yetu aaah mashallah. nimekuwa nao kadhaa na hata huyu nilienae sasa ni mwislam... Japo nasikitika sitamwao na yeye mwenyewe analitambua hilo.

wewe na huyo demu wako wote wazinifu mnastahili kuchezea bakora. Ndio mana mnaogopa mahakama ya kadhi.
 
kashfa, dharau, kejeli kwa waislamu ndivyo vilivyoifikisha nchi hapa ilipo! Litafutwe suluhisho!
Je unaonaje waislamu kwa wingi wakihamishia adress zao za ukazi ubungo ili wakamchague sheikh ponda?
Sensa ilikuwa hivihivi tulisema hapa mwanzo kabisa itafutwe suluhu tukaambiwa "tokeni mapovu mpaka mwisho lakini kipengele cha dini hakiingizwi period" ,"sahani za pilau zikitembezwa tu watatulia" n.k angalia sasa mabilioni ya pesa yanateketea bure!
Na ninafikiri hakuna funzo lilopatikana kutokana na sensa.

udini unatoka wapi tena ? Si wanaongelea ubunge jamani ? Au mimi sijasoma vizuri ?
 
mie si mwislam na kamwe siwezi kusimama mbele ya mahakama ya kadhi. Nasisitiza
Siukubali uislam moja kwa moja ila mabinti wa kiislam bana. full hijab, and full mavituziiiii
 
Sitaki kuwadharau waislam kwa kupenda kuwa wadini always... mbona mnakua washamba wa historia ya dini zote! fikiria wew mwana uamsho kama ungezaliwa mbeya songea musoma au popote ambapo ukristu ndo ulienezwa na wakolon si ungekua mkristu pia?funguka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom