Mbunge wa Tunduma(CHADEMA), Frank Mwakajoka amekamatwa kwa tuhuma za kumpiga mtu mwaka 2018

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,442
3,353
Mbunge wa Tunduma (CHADEMA), Frank Mwakajoka amekamatwa na polisi ikielezwa kuwa atafikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za kumpiga mtu mwaka 2018.

Akizungumza leo Alhamisi Julai 11, 2019 kamanda wa polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando amesema mbunge huyo amekamatwa leo na atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo.

Amebainisha kuwa Mwakajoka anadaiwa kumpiga mwananchi ambaye hajamtaja jina, kwamba kesi hiyo ni ya muda mrefu
"Kuhusu jina la mtu aliyepigwa hapa sina labda unipe muda ili nilitafute,” amesema kamanda huyo.

Katibu wa Baraza la Vijana la CHADEMA(BAVICHA) Mkoa wa Songwe, Ayub Sikagonamo amedai Mwakajoka amekamatwa kwa madai ya kumpiga ofisa mtendaji wa mtaa, Deus Mwampashe.

Mbunge huyo anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo.
 
Hivindugai hakustahili kufikishwa kituo cha polisi kwa aliyoyafanya? ua ni kwa sabaubu yule mtu alisema anajua jinsi ya kumpiga ndiyo maana walimwacha?
 
Ni wakati sasa kesi ya Spika kumbutua yule kada mwenzake mpaka akazimia ifufuliwe. Polisi mnakwama wapi?
 
Hahaha labda na Spika Ndugai atakamatwa siku moja kwa makosa kama haya, ngoja waweke precedent.
Rudisheni kumbukumbu zenu, hata kama uluwahi kupigwa ukiwa primary, unaweza shitaki sasa.
Hii kesi itasadia kuweka kumbukumbu sahihi siku ya kukamatwa Ndugai kwa kesi ya kumpiga mtu, Siku si nyingi.
 
Mbunge wa Tunduma (CHADEMA), Frank Mwakajoka amekamatwa na polisi ikielezwa kuwa atafikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za kumpiga mtu mwaka 2018.

Akizungumza leo Alhamisi Julai 11, 2019 kamanda wa polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando amesema mbunge huyo amekamatwa leo na atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo.

Amebainisha kuwa Mwakajoka anadaiwa kumpiga mwananchi ambaye hajamtaja jina, kwamba kesi hiyo ni ya muda mrefu
"Kuhusu jina la mtu aliyepigwa hapa sina labda unipe muda ili nilitafute,” amesema kamanda huyo.

Katibu wa Baraza la Vijana la CHADEMA(BAVICHA) Mkoa wa Songwe, Ayub Sikagonamo amedai Mwakajoka amekamatwa kwa madai ya kumpiga ofisa mtendaji wa mtaa, Deus Mwampashe.

Mbunge huyo anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo.
 
Mbunge wa Tunduma (CHADEMA), Frank Mwakajoka amekamatwa na polisi ikielezwa kuwa atafikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za kumpiga mtu mwaka 2018.

Akizungumza leo Alhamisi Julai 11, 2019 kamanda wa polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando amesema mbunge huyo amekamatwa leo na atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo.

Amebainisha kuwa Mwakajoka anadaiwa kumpiga mwananchi ambaye hajamtaja jina, kwamba kesi hiyo ni ya muda mrefu
"Kuhusu jina la mtu aliyepigwa hapa sina labda unipe muda ili nilitafute,” amesema kamanda huyo.

Katibu wa Baraza la Vijana la CHADEMA(BAVICHA) Mkoa wa Songwe, Ayub Sikagonamo amedai Mwakajoka amekamatwa kwa madai ya kumpiga ofisa mtendaji wa mtaa, Deus Mwampashe.

Mbunge huyo anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo.
Ndungai atakamatwa lini?
 
Back
Top Bottom