Mbunge wa Temeke, Dorothy Kilave umejidhalilisha kwa Rais

was njombe

Member
Sep 8, 2020
6
9
Hizi ni salaam za Mbunge wa Temeke ktk ziara ya Rais mkoani Dar es Salaam.

Ukweli ni kuwa ulipaswa uombe TAKUKURU ili ichunguze mkopo mliochukua CRDB badala ya kuomba Serikali kuu ilipe.

Dada yangu umekosea Sana na ninamuunga mkono Rais, ana haki ya kuukataa. Ni ufisadi tosha.

Muundo wa Serikali ya Temeke ni Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Wilaya na Baraza la Halmashauri ukiwemo wewe mbunge Dorothy Kilave.

Pole Sana.
 
Barabara ya Morogoro fidia iliyotolewa kwa waliofuatwa na mradi wa njia walilipwa kiasi cha Sh Bilioni 8.
Sasa iweje Temeke watumie Sh Bilioni 19?
 
Wakati huo Gondwe anajinadi kuongez ma flyover. Huku mkubwa wake anatumbuka.

Daah.
 
Barabara ya Morogoro fidia iliyotolewa kwa waliofuatwa na mradi wa njia walilipwa kiasi cha Sh Bilioni 8.
Sasa iweje Temeke watumie Sh Bilioni 19??
Barabara zinalipwa fidia na Tanroad, hao waliamisha watu ili wapige deal tuu hawakuwa na umuhimu wa kukopa
 
Magufuli ametoa hukumu kwanza, bila kujua facts of the case, halafu akaagiza uchunguzi.

Inachekesha sana.

Hapo hata kama hakuna ufisadi, TAKUKURU ishaagizwa kuutafuta ufisadi mpaka iupate.
Ni ufisadi, wamekopa wameshindwa kulipa, hawakufuata utaratibu. Ilikuwa ji ile kipindi cha JK kila mtu alikuwa anakula kwa urefu wa kamba yake
 
Hawa wabunge hawajamsoma boss anataka nini, Magufuli anataka pesa wao wanamwambia mambo asiyotaka kuyasikia.
 
Hizi ni salaam za Mbunge wa Temeke ktk ziara ya Rais mkoani Dar es Salaam.

Ukweli ni kuwa ulipaswa uombe TAKUKURU ili ichunguze mkopo mliochukua CRDB badala ya kuomba Serikali kuu ilipe.

Dada yangu umekosea Sana na ninamuunga mkono Rais, ana haki ya kuukataa. Ni ufisadi tosha.

Muundo wa Serikali ya Temeke ni Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Wilaya na Baraza la Halmashauri ukiwemo wewe mbunge Dorothy Kilave.

Pole Sana.
CRDB wana tawi ndani ya majengo ya manispaa ya Temeke! Looks precisely like an inside job, man tailored to fit the bosses.
 
Hizi ni salaam za Mbunge wa Temeke ktk ziara ya Rais mkoani Dar es Salaam.

Ukweli ni kuwa ulipaswa uombe TAKUKURU ili ichunguze mkopo mliochukua CRDB badala ya kuomba Serikali kuu ilipe.

Dada yangu umekosea Sana na ninamuunga mkono Rais, ana haki ya kuukataa. Ni ufisadi tosha.

Muundo wa Serikali ya Temeke ni Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Wilaya na Baraza la Halmashauri ukiwemo wewe mbunge Dorothy Kilave.

Pole Sana.

Mkuu sinabudi kwanza kukupa pongezi kwa hii mada na pili kukushukuru kwa kumtambua jemedari wetu Rais Magufuli kwa kauli yake. Temeke ina deserve Mbunge mzalendo lakini sio mrembo huyu.

Huyu Mbunge inaonekana kama, pamoja na kwamna ni mpya au tuseme ni mgeni, tayari amesha jiuza mwenyewe kwa halmashauri yake vile? Na poleni sana kwa wana Tameke waliochukua uamuzi wa kumpigia yeye kura. Hiyo imekula kwao. Poleni sana wana Temeke. Next time you better be careful! Ghaa!
 
Hawa wabunge hawajamsoma boss anataka nini, Magufuli anataka pesa wao wanamwambia mambo asiyotaka kuyasikia.

Magufuli ukiomba ardhi halafu ukachomekea ardhi hii ni kwa manufaa ya wananchi wako wanyonge kesho yake hati unapewa, alipoomba pesa alikosea hata ardhi hawakupewa tena
 
Back
Top Bottom