ni kweli kabsa serikali kwa sasa imeishiwa-hawana hela-nazan uchaguzi umewa-cost vya kutosha-Hizo Pesa watoe Wapi na Wao Wamefulia hadi Mishahara Wanakopa... Wewe Sasa utasababisha Tuongezewe Kodi kwenye Bidhaa Zetu Muhimu za Kila Siku... alimradi wapate hizo Pesa walizoombewa na DC Ili hali iwe Shwari Nyamongo
Tume ya nini tena?
Hana jipya yule,aendelee tu na kukopy vitabu vimpe hela ya kula kwani uchaguzi ujao wa 2015 jimbo linarudi Chadema.
Tume ya nini tena?