Mbunge wa Tarime Nyagwine Nyambari na Mauaji ya Nyamongo

na wale askari ni wanafki,huwa wanawaruhusu jamaa wachote mchanga wa dhahabu kwa kupewa kidogodogo sasa waliposhtukiwa wanajihami na risasi za moto!!

hy ni kweli na maskali hao wanapesa sana kwa sababu wanaongwa pesa nyingi sana na wana waruhusu watu wanaingia kuchota mchanga wa dhahabu na hata hivi karibuni kuna watu walipigana risasi wakiwa wameruhusiwa kuingia kuchota mchanga kumbe kuna raia alikuwa ameingia na bastola akampiga mwenzake baada ya mwenzake hyo kumwambia asoge achote mchanga jamaa akagoma basi akmpiga risasi akamuua
 
Jamani inauma sana kuwaona watz wenzetu wanaishi maisha ya kunyanyasika,hivi jamani kweli tuna serikali tz?
Me ainiingii akilini kabisa kama kweli tumefikia hatua ya kuona dhahabu na wazungu ni bora kuliko watz wenzetu.
Ila ipo siku viongozi hawa wanao watesa wananchi watajibu mbele ya mtoa haki mkuu.
Jamani tuikatae ccm kwa nguvu zetu zote hawatufai hawa jamaa lengo lao kuuza hii nchi yote through stupid uwekezaji
 
DC wa Tarime katika gazeti la jana la mwananchi amependekeza kwa serikali na wamiliki wa North Mara kuwalipa mara moja wananchi walioko katika eneo la mgodi.

maswali magumu:
1. Kama wale wananchi wasingempiga mwenyekiti wa Halmashauri, kauli hiyo ingetolewa lini?
2. Kama Mh. Lema asingeenda Tarima na kuwatuliza wafiwa (ambao hawataki kuongea na serikali) hali ingekuwaje mpaka sasa?
3. Kwanini North Mara walikataa kuwalipa wananchi waliowanyang'anya ardhi yao na kuanza kuchimba? matarajio yao yalikuwa ni nini?
:A S angry::A S-confused1:
Quality
 
Hizo Pesa watoe Wapi na Wao Wamefulia hadi Mishahara Wanakopa... Wewe Sasa utasababisha Tuongezewe Kodi kwenye Bidhaa Zetu Muhimu za Kila Siku... alimradi wapate hizo Pesa walizoombewa na DC Ili hali iwe Shwari Nyamongo
 
Huyu Dc kasema ukweli ila siku sio nyingi utasikia amehamishwa au kusimamishwa kazi
 
Huyu DC atasababisha JK alisahau jina lake atakapotangaza majina ya wakuu wa wilaya
 
Maskini weee namuonea huruma huyu DC. hauajifunza toka kwa TIDO MHando.....Mungu amsaidie TIDO apate kazi Aljazeera Swahili service. Ila huyu DC ambaye hata sijui qualification yake nini sijui ataenda wapi maskini
 
Serikali haina hela za kupanga maDC wapya wala wakuu wa mikoa. Miaka ya zamani, miezi kama hii, watumishi wa serikali walikuwa bise sana kuhakikisha wanatekeleza mipango na kupunguza balances/hela za kupeleka mwaka mwingine. mwaka huu hata mishahara ni shida.

Huyo DC naona alikuwa anawalenga North Mara siyo serikali. Labda alighafilika. maana kile kipigo kwa wenzake hakikuwa cha kawaida George marato wa ITV alisema katika gazeti la Mwananchi la Jumanee "Sijawahi kuona vurugu kama hizi tangu nimezaliwa". Ndo ujue kuwa hali haikuwa hali.
 
Napenda Kujitoa Mhanga kwa Ujasili Kumuomba Mkuu wa Polisi Atutangazie Majina ya Askari Walioshiriki Kuua Raia huko Nyamongo. Wao Wanaojidai Kuwalinda Ili Wananchi Tuweze Kuwajua Ili baadae tuweze kuwauliza na turidhike Mioyoni mwetu kuwa kama walitumwa au ni mipango yao ya kusudi kuwatisha Wananchi.

Ardhi tunaambiwa ni yetu ila mwenye Pesa ndio uharalishiwa so atakayepinga atatolewa Uhai.. Nasema kwa Taadhima Waliouwa Raia Tarime Arusha na Sehemu Mbali Mbali Nchi ni Wauwaji na kama Mkuu wa Oparesheni ndio Hutoa Amri basi awajibishwe Mara Moja na Pia Ajiudhuru Fasta huo ndio Utawala Bora...

Nana Hofu ya Semina ya Utawala Bora Elekezi Aliyoiandaa JK kama ndio dhamira yao ilikuwa kutumia nguvu zaidi kuzima chochote kitakacho fuka mh! tunahitaji changes...
 
Back
Top Bottom