Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

Jaji ndo ametinga mahakamani! Na tayari wameanza utangulizi na tayari hukumu imeanza, jaji ameanza na kuwa hukumu iko tayari na hukumu ni ndefu na ina kurasa zisizopungua 68 kwa kuwa mambo yenyewe ni mengi na ameanza kuomba kuisoma kwa kiingereza na kuwa summry itatolewa kwa kiswahili ameanza kuisoma tayari kwa kiingeleza


hizi kesi za kusomwa kwa kingereza hizi mara nyingi hazitendi haki.......
 
Last edited by a moderator:
Kuna kila dalili madai yote ya CDM yakatupwa na mbunge akaendelea na ubunge wake.
 
Kupata haki mahakamani siku hizi inategemea utasha na interest za majaji na mahakimu hii ni hatari sana.
 
Kwa hiyo kesi naimani magamba watashinda, hawawezi kubali kupoteza hilo jimbo wakati jimbo la segerea ni hatihati mpaka sasa! nguvu ya umma ipo mashakani.


Ngoja tuendelee kutia ubani hakika nguvu ya umma ipo na itashinda tu!
 
Kuipata haki sio Jambo la lelemama,tuombe Mungu haki itendeke.Ee Mola wapige upofu wale wote watakaojaribu kuipoteza haki,amen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom