Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

Speker zishafungwa anasubiriwa jaji tu hapa, hukumu ianze kusomwa, mlalamikaji bw Yamsebo "Chadema" na wakili pamoja na mlalamikiwa bw Aeshi "ccm"pia na mawakili wake ndo wanaingia ukumbuni
 
Raia wamejitokeza kwa wingi sana, askari kibao ukumbi umejaa sana, hukumu bado haijaanza kusomwa wanasubiri wafunge spika kwa nje.

UPDATES:
Jaji bado hajaingia, raia waliojipambanua ni CDM na ndo wengi zaidi ya 95% na wamekula kombati, wapo makamanda toka mkoa mpya Katavi toka Mpanda mjini na Tunduma
Kwa hiyo kesi naimani magamba watashinda, hawawezi kubali kupoteza hilo jimbo wakati jimbo la segerea ni hatihati mpaka sasa! nguvu ya umma ipo mashakani.

 
Raia wamejitokeza kwa wingi sana, askari kibao ukumbi umejaa sana, hukumu bado haijaanza kusomwa wanasubiri wafunge spika kwa nje.

UPDATES:
Jaji bado hajaingia, raia waliojipambanua ni CDM na ndo wengi zaidi ya 95% na wamekula kombati, wapo makamanda toka mkoa mpya Katavi toka Mpanda mjini na Tunduma

Asante Mkuu,
Endelea kutujuza!
 
Jaji ndo ametinga mahakamani! Na tayari wameanza utangulizi na tayari hukumu imeanza, jaji ameanza na kuwa hukumu iko tayari na hukumu ni ndefu na ina kurasa zisizopungua 68 kwa kuwa mambo yenyewe ni mengi na ameanza kuomba kuisoma kwa kiingereza na kuwa summry itatolewa kwa kiswahili ameanza kuisoma tayari kwa kiingeleza
 
Safi sana mkuu natamani ningekua hapo mahakamani,usichoke kutupa kinachojili mkuu
 
NAomba msinielewe vibaya, ningetamani haki itendeke, lakini naomba kutabiri hukumu ya leo kuwa madai yote yatatupiliwa mbali, CDM tujiandae kwa 2015. Narudia tena, msinielewe vibaya.
 
Nawafuatilia wakuu toka magharibi ya mbali..2po mbali nanyi arusha hapa..2naunganishwa na P POWER na pia JF.
 
Si amesema mahakamani Sumbawanga? Au unauliza kesi gani? ... Inahusu kupinga matokeo ya ubunge na leo ni hukumu.

Nyati - Hiyo signature yako ... I am not the same person today as I was 10, 20, or 30 years ago, for I have welcomed life's changes on my heart, face, and mind. ... What is that life changes which deals on the heart, on the face, and on the mind. Which hospital did you attend for such a surgical treatment?!!! Who is the performer?


The hospital is known as DUNIA and the performer is Maisha. It depends how old you are but I am doing things differently due to the fact above.
 
Hivi matokeo yalikuaje,yani namaanisha cdm ilipata ngapi na ccm ngapi?

mkuu kwa matokeo yaliyotangazwa yalionyesha tofauti ya kura kama 800 lakini kwa majumuisho ya mawakala Chadema ilikuwa imeshinda kwa kura kama 128
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom