Elections 2010 Mbunge wa Sumbawanga mjini akiwa chini ya ulinzi baada ya kuvamia ofisi za CHADEMA Igunga

Tanzania kuna Wanataifa hili waliozalishwa kutoka kwenye 0.5 ya [Kiarabu na Kisomali] jamani watu hawa niwatata kitabia kuliko hata 1 yenyewe,na wengi walikimbilia CCM wakachota madraka na mazao yake ndiyo hayo.Ni jukumu jipya kwa think tank wa CCM kujua mambo haya na kutafuta namna ya kudeal nayo kwa kuwa hatimae aibu yao ni aibu ya CCM.

Ukitizama picha hiyo hakika ni aibu kwa MP mzima mwenye ustaarabu wa kiafrika rasmi na uungwana wa kijamii na sio tabia za kibedui [Majambazi wa Jangwani Uarabuni] au majangili bahari [Wa rasi ya somalia Pirates].

Jamaa hawa wa 0.5 walipoingia CCM kwenye mikoa tofauti tofauti Tanzania, waliasisi tabia za michezo michafu kwa mgongo wa CHAMA CHA MAPINDUZI na wakafumbiwa macho kwa misemo ya HUYU NI MWENZETU. Matokeo yake ndio hayo jamii haifurahishwi na matendo yao ya kimitaani kuyaingiza kwenye taasisi muhimu ya Kiutawala kama CCM na ambayo imezaa aibu na makovu yasiyotaka kufutika daima.Bahati nzuri CDM wameligundua hilo na wanadeal nao hao wenye tabia za kibedui na kiparates na dawa yao ni kuwa CDM wameamua kuwa macommando.

Japo si sawa kwa pande zote mbili,lakini wakati mwingine ili kuondoa tatizo ni vyema kulithibiti kisha kwa kuthibi huko ndio mwafaka unapatikana.Hii inatoa sura mpya kwa chama cha mapinduzi kutafuta wanaharakati wapya wa kukipigania Chama hicho katika tafsiri ya kampeni za kiungwana na pale inapozidiwa nk kukili na kutafuta mbinu sahihi na kuludi ulingoni upya na kupambana na adui wake katika kinyanganyiro.

Ni wakati mpya wa CCM kujitoa kwenye mikakati yoyote mibovu yenye sura ya kibabe,umwamba,kejeri,uzushi,uongo nk, na kuwa na timu ya vijana wa kisasa wenye mbinu na mikakati ya kisayansi na kwa kuwa wana resources wanachoitaji ni maliasili watu.

Na pia iepuke kutumia makada wake waliobobea kwenye fitina uongo na majungu kutengeneza mikakati ya ushindi,wawatumie wanaccm wa kawaida wasomi watakao ona kwa jicho la kawaida na kutenda kwa jicho la kawaida.Mfano DK Magufuri ni moja ya aina ya watu wa aina ya CCM wanaotakiwa kutumika kwenye chaguzi za CCM.Watu wanaona mambo katika uhalisia na sio kwa wimbi la watu wachache wnavyotaka wao iwe hivyo.

Na hakika pasipo Chadema hakuna CCM na pasipo CCM hakuna Chadema wananchi wanachotaka ni nani kama ni mke kati yao basi awe ni mke bora na si bora mke,ambae wajibu wake ni kupiga umbeya,mjivuni, maringo kufa mtu, na kupaka rangi za kucha kuwatamanisha majibaba mitaani kuwa yeye ni mwanamke mrembo mtaani au kitongojini ambae hawajapata kuona.Wananchi wanataka kuona mke mwema msikivu,mwenye kujua njaa ya familia itatuliwa vipi jikoni,wageni wakija wale wasaze na si kuondoka navyo.

Hongera CDM kwa kubuni namna y kudeal na aina ya 0.5 iliyo ndani ya CCM,manake ilishakuwa taabu kwa miaka ishirini sasa ilisha dominate kwenye aina fulani ya matumizi ya maarifa katika chaguzi nyingi sana.Na ubaya wao shule yao ni ndogo sana wengi wa hao 0.5,Kwa hiyo wanakuwa kama ma machine [robot] mpaka wasomi ndani ya CCM wanajengewa hofu ya kuwaogopa ukizingatia na wakipita kwa mababu wa mama zao ndio inakuwa balaa full kuogopeka.Na kwa kuwa wanakuwa na moyo wa kibedui na kiparates hawaogopi kitu wao wakotayari kuhujumu ili wapate chochote kwani kama historia ya kitamaduni ya asili ya Baba zao walivyojengwa kuwa wao kwanza wengine baadae,na kuwa kama hana kile anachoikiona kwa mwenzie basi ni chake yeye.

CDM aksante kwa picha hiyo wale wote wa 0.5 ambao wengi wao wanatabia ya huyu jamaa aliyekujwa kwenye Kona napata picha kwao wao UJUMBE umefika na picha tosha TUMEKOMBOKA. Wasalaaaaam hiyo ni moja ya salaaaaam kwao kuwa mwisho umefika na kuwa WEWE UKIJUA HUU WENZIO WATAJUA ULE.Wana think tank wa CCM nayo hiyo ni salaaaaam hata kama kuna malalamishi ohhhhhhhhhh makomando wametoka Urabuni au Ulaya natumaini ili ni TUSI KWA USALAMA WA TAIFA, kuwa wao ni wazembe kiasi kuwa Chama kama CDM kinaweza kwenda kuunda makomando bila ya wao kujua na wakaingia Nchini pasi wao kujua pia.Aluta continue japo si mpenzi wa chadema wala mwanachama wake bali every dog has is day, makosa ya CCM faida ya chadema
 
tatizo jamaa kaweka pozi wewe nyoka kaingia chumbani kwako unamchezea piga na mambo mengine yatafuatwa .... gemu hiyo iliishaje
 
Back
Top Bottom