Elections 2010 Mbunge wa Sumbawanga mjini akiwa chini ya ulinzi baada ya kuvamia ofisi za CHADEMA Igunga

Huyu jamaa Wa ccm ni kamanda Wa ukweli kaingia ndani ya kambi ya Chadema na katoka salama. Sasa chakushangaza maneno mengi yanawatoka. Kaza butt Aeshi vijana Tupo Nyumba yako igunga.
Totautisha kati ya kamanda na kada,! huyo aisha ni kada sio kamanda,...
 
In short ni kwamba CCM wameona mbinu ya kuipaka matope CDM kionekane ni chama cha vurugu imeshindwa, wametumia mbinu zote za vurugu zimefeli sasa wameona wa-compromise yaishe maana kadri wanavyotega mitego CDM inategua na kuzidi kuonekana wao ndio waanzilishi, ndio maana tangu kuanza kwa wiki hii hujasikia matukio makubwa ukiacha yale madogomadogo ya kawaida.
 
kazoea kurusha risasi na kukimbia leo amepatikana baada ya wanaume wenzake kumdhibiti na maetulia kama vile mtoto wa kike.
 
bashe na beno walienda kuzungumzia nini?
tafadhali viongozi wa chadema mlioko humu mtujuze!
magamba wanaweza kuwa wanatafuta kaupenyo fulani!
 
Komesha kabisa wangalimkata shingo japokuwa si kitu kizuri .Bashe anawazidi na CCM kibao akili .Kaja na approach tofauti na vilaza wengi wa CCM hahahha .
 
Huyu jamaa Wa ccm ni kamanda Wa ukweli kaingia ndani ya kambi ya Chadema na katoka salama. Sasa chakushangaza maneno mengi yanawatoka. Kaza butt Aeshi vijana Tupo Nyumba yako igunga.

Pumbafu zako wewe na huyo Aeshi wako, unatakiwa uishukuru busara ya Dr Slaa, DR wa ukweli, ama sivyo Esta Bulaya angemkosa mtu wa kuspend naye Igunga!
 
bashe na beno walienda kuzungumzia nini?
tafadhali viongozi wa chadema mlioko humu mtujuze!
magamba wanaweza kuwa wanatafuta kaupenyo fulani!

Walitaka kulisalimisha jimbo kwa amani. Waliomba CDM ikishinda basi wasifanye sherehe kubwa za maudhi.
 
Hata mimi nilijuwa mwana mke na nikawa nashanga sanaa wanawake kurushia watu risasi! Labda alisoma na jina la dada yake

historia ya huyu mwanga kuwa na jina la kike ni kwamba alifeli darasa la saba, kama ilivyo ada alichukua jina la mwanafunzi mtoro toka shule ya jirani alokuwa anaitwa asha ukatengenezwa uhamisho wa kimagumashi toka shule alokuwa anasoma asha kwenda shule ya mbali kidogo waka-amend asha kuwa aeshi. nitarudi mida.
 
hawa magamba wameongezeka huko ndio wanunuaji wa zile hati za kupigia kura.alisthili kupata kipigo tuu.
 
Maandiko yanasema, wale wote watendao dhuruma uzee wao utakuwa wa mahangaiko, haya yametimia kwa CCM. Baada ya kutudhurum haki zetu sasa tunajionea jinsi chama hiki kichovu kinavyoishia kwa mahangaiko. Mara wanaplan kuiba kura, mara wanaandaa janjawid, mara Mkapa anawaambia wanaojiita takukuru, kugawa mahindi kwa wanaigunga kipindi hiki cha uchaguzi sio rushwa, mara Rostam njoo ufungue kampeni, kwa kweli wanatapatapa mbaya. Na bado mengi tutayaona, nadhani mungu ameamua kuwaheleleza.
 
hawa wanapima viwango vya hasira vya watu wakivutwa hijabu wataongeza mengine kuwa walitaka hadi kubakwa maana ccm bwana hawatulii katika kupika visa
 
Back
Top Bottom