Mbunge wa Sumbawanga mjini akata rufaa jijini Dsm,kisheria ikoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Sumbawanga mjini akata rufaa jijini Dsm,kisheria ikoje?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Sobangeja, Sep 20, 2012.

 1. S

  Sobangeja Senior Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Aeshy Hilaly Halphany amekata rufaa ya kupinga kuvuliwa ubunge wa Sumbawanga mjini (CCM) katika mahakama kuu jijini D'salaam badala ya Sumbawanga. Jana hukumu haikusomwa kutokana na mapungufu ya kisheria.wadau kukata rufaa nje ya jimbo lako la uchaguzi inaonyesha picha gani na je sheria inasemaje juu ya hilo? :A S 465:
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  WAliomchagua wako Dar maana ndo walimpitisha kwa nguvu zao na sio wanaSumbawanga!
   
 3. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kesi hawezi kufunguliwa na kuamuliwa nje ya Mkoa lilikotokea kosa.
   
 4. A

  Acidic rain Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kweli Mjinga ni chakula cha msomi wanampeleka peleka 2 wasomi wanajilia ma hela..!
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  ngoja kwanza ziliwe si simejaa mifukoni.......
  mwisho wa siku hukumu inatolewa anaambiwa arudi mkoa alikofanya uchaguzi kesi ikafunguliwe huko......
   
Loading...