Mbunge wa Simanjiro Ole Milliya na Naibu waziri wa Maji wazindua Mradi wa Maji Simanjiro


Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
14,032
Likes
31,834
Points
280
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
14,032 31,834 280
Mbunge wa Simanjiro Mhe. James Ole Millya Pamoja na naibu waziri wa Maji Mhe. Izack Kamwele wamezindua Mradi wa maji safi na salama katika kijiji cha Gunge kata ya Ruvuremit wilayani Simanjiro.

Vilevile Mbunge huyo wa Simanjiro pamoja na naibu Waziri wametembelea na kukagagua chanzo cha Maji kutoka mto Pangani na Mradi wa kupeleka Maji makao makuu ya wilaya ya Simanjiro ambao umbali wake ni kilomita 48 kutokea kwenye chanzo cha Maji.

Imetolewa na
Mozec Joseph
*Afisa habari-Kanda ya kaskazini*
 

Attachments:


Forum statistics

Threads 1,274,858
Members 490,833
Posts 30,526,109