Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya ampongeza Rais Magufuli, amuita jembe

Siasa zinalazimisha watu wasiwe vile walivyo. Siasa za maji taka na kufuata mkumbo
 
Mi naona ni sawa tu mimi naunga mkono alichokifanya hata kama humpendi vipi mtu akija kwako mkaribishe vizuri
Ndivyo tunavyofanya kwetu Kilimanjaro wilaya zote japo tunajua serikali haitupendi Wachaga lakini akija tutampokea vyema sana lakini kilicho moyoni tunakijua wenyewe

Kijana wa bavicha
 
Tatizo unapongeza jembe linalolima kwa maguvu sana katika ulimwengu unaohitaji trekta linalolima kwa akili sana.
 
Back
Top Bottom