Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,942
Wajameni,
Nakusudia kugombea ubunge Sikonge kupitia CHADEMA 2015.
Nakusudia kugombea ubunge Sikonge kupitia CHADEMA 2015.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Wajameni,
Nakusudia kugombea ubunge Sikonge kupitia CHADEMA 2015.
Usiwe na wasiwasi, mie ni Mpinzani wako na tutagongana mitaani Usupilo kijana wangu.
Nimeshaanza mikakati ya kumtoa Nkumba na kama una nia kweli basi kaza kamba maana ntacheza mechi kama Mjeruman - hadi sekunde ya mwisho kuhakikisha nakutoa wewe kwanza na mwisho nammalizia Nkumba.
Usiwe na wasiwasi, asiyekubali kushindwa si mshindani.
Ngoja niende zangu kijijini Tutuo kwa Rehani kumuona Mkwe wangu maana nasikia hajiwezi.
Kavagishe! Mie nitakwenda kijijini Mpombwe mwishoni mwa Desemba. Ukinishinda nitakuunga mkono - kura za Kiwele ni zangu bila shida.
Kabla ya 2015 kufika, kama nikiwa tayari basi nafikiri utajitoa tu wenyewe maana ntaingia kwa gia nzito. Ila nisipokuwa tayari basi wala siasa siingii. Ntakujulisha mwakani mwishoni.
Mie nipo zaidi mitaa ya Sikonge na vijiji vya Jirani maana hapo ndipo ukisikia jina la SIKONGE, kila mtu analifahamu. Zaidi ya hiyo basi itakuwa ni kujitangaza na kusaidia kujenga mizizi ya Chadema kwenye vijiji maana bila mizizi, Watakuchakachua na kumchakachua pia Slaa.
Mpombwe, duu huko ndani sijawahi kufika ila huwa napita tu. Mwaka jana nilipita na Camera na nikafanya hivi:
![]()
View attachment 17217View attachment 17218
Umenikumbusha mbali mzee. Asante sana