Mbunge wa Sengerema William Ngeleja alikuwa wa kwanza kukiri na kurejesha mgao wa Escrow anastahili pongezi.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,867
141,804
Sina hakika zile fedha zilizorejeshwa na Ngeleja ziliingia katika mfuko gani lakini na!pongeza kwa maono yake.

Nimuombe tu DPP amtambue mbunge Ngeleja kama ni mmoja wa waliorejesha fedha zilizoibwa hata kama alikuwa hajashtakiwa lakini ndiye mtanzania wa kwanza aliyejutia kosa lake na kurejesha fedha alizopewa kinyume cha sheria.

William Ngeleja atakuwa mtu wa 468.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom