Mbunge wa Rorya Lameck Airo (Obama) kujiuzulu ubunge?

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,943
428
Mhe Mbunge wa rorya Lameck Airo ametishia kujiuzulu ubunge baada ya mgogoro kuibuka juzi baada ya kamati ya siasa kukata jina la rafiki yake charles Ochele obuto kugombea uenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rorya

Mbunge wa Rorya Lameck Airo amesema endapo maamuzi ya kamati ya siasa ya mkoa hayatatenguliwa yuko tayari kurudisha kadi yake na kubaki kuwa mwanachama wa kawaida

"'kama pesa ninazo sikuhingia kwenye siasa kuganga njaa bwana mdogo ,ninao uwezo wa kuwaajiri wajumbe wote wa kamati ya siasa ya mkoa, haiwezekani wakate jina la ochele anakubalika kuliko hata mimi ,mchango wake kifedha ni mkubwa mno ndani ya chama na alikisaidia chama kifedha kipind cha uchaghuzi mkuu hiki chama hakina shukrani "' mwisho wa Kumnukuu
 
Samahani sijakuelewa hapo kwenye nilipoonyesha kwa wino mwekundu. Sasa mtu akurudisha kadi anawezaje kuwa mwanachama wa kawaida?
 
Uyu nae anashangaa nini CCM ndo zao kufanya very unpleasant and unpopular decisions
 
huo mkwara tu namfahamu lameck hawezi kurudisha kadi maaana ni mfanya magendo mkubwa CCM watamfilisi akithubutu
 
heeheeeeeeee kama pesa anazo sasa kwanin alihitaji mchango wa mwaaume mwengine wakat wa uchaguzi alaf yambidi kurudisha fadhila kwa kumgombania apate cheo?
Kumbe pesa atambiazo anazo ni za mwanaume mwengine aliyemuweka juu..pole zake,wenye pesa zao huwa hawajisifu.

Besides money aint everythin
 
...kurudisha kadi na kubaki kuwa mwanachama wa kawaida...

Halafu tukiwaambia kuwa inahitajika Mbunge awe amemaliza angalau kidato cha nne mnakataa!
 
hahaaa huyu jamaa si ndo yule aliyeishia std 7?? daaaah CCM bana..
 
Mhe Mbunge wa rorya Lameck Airo ametishia kujiuzulu ubunge baada ya mgogoro kuibuka juzi baada ya kamati ya siasa kukata jina la rafiki yake charles Ochele obuto kugombea uenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rorya

Mbunge wa Rorya Lameck Airo amesema endapo maamuzi ya kamati ya siasa ya mkoa hayatatenguliwa yuko tayari kurudisha kadi yake na kubaki kuwa mwanachama wa kawaida

"'kama pesa ninazo sikuhingia kwenye siasa kuganga njaa bwana mdogo ,ninao uwezo wa kuwaajiri wajumbe wote wa kamati ya siasa ya mkoa, haiwezekani wakate jina la ochele anakubalika kuliko hata mimi ,mchango wake kifedha ni mkubwa mno ndani ya chama na alikisaidia chama kifedha kipind cha uchaghuzi mkuu hiki chama hakina shukrani "' mwisho wa Kumnukuu

Kama huu ndio mtazamo na mawazo ya huyu mbunge basi kuna ombwe kubwa la kiuongozi kwenye hili jimbo.
 
kama hayo ndio maneno ya mtu anayestahili kuwakilisha jimbo fulani bungeni, Basi we have a long way to go.
 
mchango wake kifedha ni mkubwa mno ndani ya chama na alikisaidia chama kifedha kipind cha uchaghuzi mkuu hiki chama hakina shukrani
Chama kinaponunuliwa hadharani....halafu hata hawashtuki...
 
heri huyo Lameck kaishia la saba huyo anayemtetea (Ochele) kaishia darasa la nne. wanahela za magendo na samaki. Ochele ni tatizo na ninawapongeza hao walioondoa jina lake. Alisababisha vurugu sana wakati ule wilaya haijagawanywa. Ana inferiority complex na ana personalize mambo. Na ndiye alichangia sana wana Tarime kuipiga chini CCM kwa mambo ya kijinga yaliyokuwa yakiendelea Halmashauri aliyokuwa akiiongoza. Alichangia kufanya watumishi wengi wazuri wahame Tarime kwa kushindwa kuvulimia mambo ya kipuuzi ya mwenyekiti huyo. Walipoligawa jimbo wakulya wakabaki kwao na wajaluo wakaenda zao Rorya vurugu zikahamia huko. kwanza makao makuu ya wilaya, baadaye nani amrithi Mbunge, na mengine mengi tu ya hovyo. Ochele hafai kuwa kiongozi acha tu apigwe chini. Hela sio kigezo cha kuongoza chama hata kama ni chama cha mafisadi.
 
Kwahiyo kuwa kiongozi sio uwezo bali ni kujuana vipi na wakubwa..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom