Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

Status
Not open for further replies.
Kutokana na mjadala wa bajeti ya wizara ya mambo ya nje uliokuwa unaendelea , Mbunge wa Nkasi Ndugu Ali Kessy ameporomosha matusi mazito kwa wazanzibar kuwa ni watu wa hovyo na ambao kila mara wanalialia tu kuwa wanabaguliwa , wanadai mambo mengi kuliko uwezo wao na wakati hawachangii hata senti kwenye Muungano na hivyo kama wanaona wanaonewa waende kwenye nchi yao sio kukaa kwetu.......

Alienda mbali zaidi kusema kuwa Zanzibar Majimbo ya uchaguzi ni madogo kiasi kwamba ukipigania filimbi wananchi wote wanakusanyika ila bado wanapewa fedha za mfuko wa Jimbo jambo ambalo sio haki , na pia hata umeme hawalipi na maji pia .

jambo hili lilimfanya mbunge wa CCM ndugu Chombo , kuomba muongozo na Kumtaka naibu Spika a mwambie Kessy kamwe asikanyage Zanzibar , hii ilikuwa baada ya kumuita mwendawazimu , na alisema ni bahati mbaya kwa CCM kuwa na mbunge mwendawazimu kama huyu ......

Ndugai muda muda wote alikuwa akicheka , sijui nini maana yake .."...

Mkuu wala si shangai Ndugu Ndugai kucheka, nasikia kipinda cha asubuhi kuna Mbunge wa Zanzibar alijaribu kukandia Tanzania bara na malalamishi yasiyo na mantiki kama kawaida yao, naona mzalendo Ally Kessy kawafanyia timing kipindi cha mchana na kuwapa vidonge vyao akiwa na imani kwamba "wakivimeza au wakivitema - shauri yao!" Narudia kusema si Wazanzibari wote wenye tabia hii ya ulalamishi uliyo kithili - masaa yote "chako changu, changu changu!!!!"
 
Ni kweli kabsa Eneo la jimbo la Ubunge Zanzibar ni sawa na Eneo la Kata huku Tanganyika,wabunge wanawakilisha Vijieneo Vidogo sana ! Pia ni wengi mno ! Zanzibar ni ka Nchi kadogo lakini kana wabunge wengi Hakuna Mfano .wamelundika wabunge kwa kutegemea posho toka Tanganyika , yaani ni ajabu Tanganyika kujijibebesha zigo la kuilea na kuihudumia Zanzibar wakati walipaswa wajutegemee wenyewe na pesa ya Tanganyika itumike kuleta naendelea badala ya kutumika kubembeleza muungano.
waznz wanajitambua ndo mana wao wana chao na cha kwetu chao pia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom