mbunge wa mwibara na uccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbunge wa mwibara na uccm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rich Dad, Jun 28, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mwenye kumjua huyu jamaa atumwagie info. Maana anaonekana ni mtu wa visasi. Sijawahi kumsikia hata sikumoja akichangia issue yeyote asimu attack mtu yeyote wa upinzani.
   
 2. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  amekiri kuwahi kumzalilisha binti kipindi cha ujana wake. Anasema alimuambia ''kwa sura uliyonayo wewe labda unilipie mahari mwenyewe,ndio nikuoe kwa sababu hakuwa akivutia'' nanukuu.
   
 3. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  soma website ya bunge.
   
 4. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Thanks mkuu....nita browse website ya bunge niangalie profile yake.
   
 5. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mbunge wa mwibara anapoonyesha mapungufu ya serikari iliyopo madarakani, na kujifanya mtetezi wa wananchi, hata kusema hataunga mkono iwapo mabadiliko hayatafanywa. Kisha anageuka kutetea chama na kisha kuunga mkono bajeti aliyojaribu kuonyesha mapungufu.
  Hivi kwa ushabiki wa kitaahira kama wa huyu mbunge wa mwibara, mabadiliko yatakuja namna gani?
   
 6. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunahitaji ile ya upande wa pili cyo iliyochakachukuliwa
   
 7. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ni kichefuchefu mwingine aliwahi kufanya kazi polisi akiwa OC CID Magomeni alikuwa anakula rushwa ikwenda mbele!
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa mtindo wa huu Mbunge, watu wa Mwibara wakae mkao wa kilio. ANAOMBA chakula kwa watu wake, badala ya KU-DEMAND! Anaomba umeme badala ya ku-demand umeme! Amoenesha kabisa kuwa hajui yuko bungeni kufanya nini? Bunge linatakiwa kutunga sheria na kuhoji serikali. Kama wananchi wake wanakosa chakula kwa kuzuiwa kulima kwenye maoneo fulani au kukosa pembejeo anatakiwa ahoji na ku-demand marekebisho toka serikalini - tena kwa HARAKA. Hii omba omba watu wake watandelea na njaa. Tafuteni mbunge huyu ni bomu!
   
Loading...