Mbunge wa Mtwara Mjini akamatwa kwa uchochezi!

Ningependa kujua -- hivi tangu uhuru wetu huyu Hasnein Murji Mbunge wa CCM ndiyo wa kwanza kutoka chama tawala kupandishwa kizimbani kwa kosa la uchochezi? Naambiwa kulikuwapo wengine enzi za TANU kama vile Joseph Kasela Bantu na Kasanga Tumbo. Je hawa walikuwa wabunge?

naombeni jibu tafadhalini.

kuchochea maana yake nini?ukisha tuambia maana ya uchochezi jibu lako ni Rais
 
Back
Top Bottom