Mbunge wa Mtwara Mjini akamatwa kwa uchochezi!

Polisi tendeni kazi yenu msicheke na mtu huu ushenzi tumechoka nao kila mtu abebe mzigo wake.
 
Huo mkwara tu watamuachia muda si mrefu. Mkakati wao ni kuwatisha na kuwanyamazisha kabisa wananchi wa Mtwara ili wasiendelee kupigania kufaidika na rasilimali iliyopo katika eneo lao.
 
Baada ya kusomewa mashitaka thamana iko waziwadhamini 2 na fedha milioni 10 miezi miwili hanakesi yakujibu. uko huru mu he shi miwa chezea Jeshi la polisi ww.
 
Huyu Ni Samaki Mdogo Wa chambo ili kunasa wakubwa-upinzani Na makundi mengine
 
Huo mkwara tu watamuachia muda si mrefu. Mkakati wao ni kuwatisha na kuwanyamazisha kabisa wananchi wa Mtwara ili wasiendelee kupigania kufaidika na rasilimali iliyopo katika eneo lao.
wewe mbona hujapigania sangara wa ziwa victoria ambao kila kukicha wanasafirishwa kwenda ulaya wao wakiishia kula mapanki tu. acha kuwapotosha watanzania
 
Ngoja akamatwe! hawa wahindi hawana uchungu na TZ! wanachuma kwetu wanawekeza kwao halafu wanajidai eti wazawa! huyo jamaa ana vita ya kisiasa na wabunge wenzake wa Mtwara ambao wanapanga njama za kumng'oa kwenye ubunge mwaka 2015 na mbunge mmoja mwanamke wa huko huko agombee jimbo la huyo bwana. jamaa hana uwezo ktk ubabe wa kisiasa hususan ktk kupigania maslahi ya wananchi wa jimbo lake. hivyo ili ajihakikishie kushinda ubunge 2015 ndipo anatafuta kupendwa na wananchi wa jimbo lake kwa kuchochea machafuko! sometimes hawa politicians are stupid when it comes to issues of their interest! hawana utu kabisa bali matumbo yao! just imagine watu wanauawa na wengine kujeruhiwa na mali kuharibiwa kwa sababu ya siasa za matumbo ya wapuuzi wachache!!!!
ishu isiishie tu kukamatwa bali akamuliwe majipu yake mawili downstairs!
 
Haisaidii ndio kwanza wamezid kuchochea moto tuh,maandamano yapo pale pale hiyo juma tatu kuelekea mahakamani kujua hatima ya viongoz wetu...

Itajulikana tuh mwsho wa hii picha
 
ni wakati sasa wa wana mtwara kuonyesha makali yao dhidi ya serikali ya CCM!!!kama mbunge kakamatwa ina maana sasa hakuna kiunganishi kati ya wananchi na serikali!!ubabe ubabe tuu
Hicho unachokisema inanifanya niamini kwamba kunawatu wanatumika kuchafua serikali kama mtu unaweza kumtetea mbunge muhuni kama murji ambaye anahamasisha vurugu kweli taifa limeingiliwa,polisi kateni mapembe.
 
Hahaha hahaha maccm na mapoliccm yote ni kitu kimoja.acheni kuchezea watu akili.

wewe ulitaka akamatwe nani ndo uamini kuwa polisi wanafanya kazi yao? muulize mchungaji msigwa kilichomtokea. mpaka sasa yupo kimya? kiherehere chote kimeisha
 
Kama wana Mtwara, waliandamana kwa ridhaa yao wenyewe bila kuchochewa, huku mbunge wao akiwa nyuma yao, pembeni yao pamoja nao!, then mbunge wao ndio naye sasa amekamatwa na kama ataunganishwa na kushtakiwa, then Mtwara hapata kalika na bomba la gesi halita jengeka!.

Ila kama ni kweli walichochewa na wachochezi ndio hao waliotiwa mbaroni na kushitakiwa, then wachochezi hawa watakuwa wameshikishwa adabu!, Mtwara itakuwa shwari, bomba la gesi litajengwa bila vikwazo vyovyote na gesi itasafirishwa kuletwa Daslam ambako ndiko waliko wanaojua kuitumia hiyo gesi!.

Huko nyuma niliwahi kusema " you can never miss what you never know!", kwani Wa Mtwara wanaijua gesi?, wamewahi kuitumia?, wamewahi kuwa nayo?, how could they miss something they never had?!. Hawa walichochewa tuu!, wao wamezoea kuni!, waendelee kutumia kuni, ila gesi watuachie sisi wa mujini tuliozoea!.

Mtwara na Lindi ni CCM strong hold, wako very loyal kwa chama chao, ndio maana sasa wametulia tuli baada ya wachochezi kukamatwa!.

Wachochezi wote washikishwe adabu!, and soon inakuja sheria mpya ya cyber law, hata "hawa wachochezi wetu humu jf!", watashikishwa adabu!.

Kidumu chama cha Mapinduzi!.

Pasco.
 
Ngoja akamatwe! hawa wahindi hawana uchungu na TZ! wanachuma kwetu wanawekeza kwao halafu wanajidai eti wazawa! huyo jamaa ana vita ya kisiasa na wabunge wenzake wa Mtwara ambao wanapanga njama za kumng'oa kwenye ubunge mwaka 2015 na mbunge mmoja mwanamke wa huko huko agombee jimbo la huyo bwana. jamaa hana uwezo ktk ubabe wa kisiasa hususan ktk kupigania maslahi ya wananchi wa jimbo lake. hivyo ili ajihakikishie kushinda ubunge 2015 ndipo anatafuta kupendwa na wananchi wa jimbo lake kwa kuchochea machafuko! sometimes hawa politicians are stupid when it comes to issues of their interest! hawana utu kabisa bali matumbo yao!
Mkuu umenena kweli ningeweza kukuona ningekupa zawadi mkuu huo ni ukweli mtupu.
 
Hapa ndio kikwete anaanza kutaka kuleta machafuko zaid mtwara, tutegemee nini kama wataanza kukamata viongozi
 
Nadhani Mapembe ya JK yashaanza kukatwa!! Hii ndio Laana ya Unafiki!! Ukiwa bungeni upo kimyaaaaaaaaaa, unamsapoti JK, ukirudi huku kwako wajifanya upo pamoja na wananchi....kila mara nawsema we Murji ni Mnafiki, ulishindwa jimbo la Newala utaweza Mujini....bora ukapo lupangano hata miezi 10 tu yatosha!!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom