MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 760
i see! wamejivuta muda wote huo wameona hakuna wa kumshushia mzigo,na hapo ndio kwenyewe kilichobaki ni kumvua uanachama,haiwezekani uwe ccm halafu utende kama cdm (kuwatetea wananchi) hii sio sera yetu ccm.....
Kumkamata sio sababu wananchi wamechoka kuburuzwa na hii serikali ya JK ambayo imepoteza dira. Ifike mahali CCM WAELEWE WATANZANIA WAMEWACHOKA. Ukiwa mkweli kwao ni tatizo unaitwa CDM. Wana MTWARA MSIKATE TAMAA SAA YA UKOMBOZI IMEWADIA.