Mbunge wa Mtwara Mjini akamatwa kwa uchochezi!

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
37,555
2,000
Hizi video za serikali hizi huwa mara nyingi mastelingi wao wanatoweka ghafla tu, kufa hawafi na kuishi hawaishi......wamepata cha kusema keshokutwa...oooh tumekata mapembe, hatuogopi mtu, si mnaona jamani, tuchagueni tudumishe amani yetu.(Nyooo) waongo wakubwa hawa
 

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,345
1,500
Kija kazi upo sahihi na si huyo tu,yeyote anayechochea vurugu hafai kwenye hili taifa.
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,854
2,000
Kija kazi upo sahihi na si huyo tu,yeyote anayechochea vurugu hafai kwenye hili taifa.
sure mkuu, rais wa nchi amesema hata wakiwa na mapembe makubwa kiasi gani lazima wakamatwe tu. huo ni mwanzo. bado maliberali
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,500
2,000
ni wakati sasa wa wana mtwara kuonyesha makali yao dhidi ya serikali ya CCM!!!kama mbunge kakamatwa ina maana sasa hakuna kiunganishi kati ya wananchi na serikali!!ubabe ubabe tuu
 

mahwelu

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
310
250
kumbe naye tu shule hamna!!! waungwana hivi ni kweli elimu ndogo ndio mwisho wake kuhamasisha maandamano? evidence?
MEMBER OF PARLIAMENT CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
First Name:Hasnain
Middle Name:Mohamed
Last Name:Murji
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mtwara Mjini
Political Party:CCM
Office Location:P.O. Box 786, Mtwara
Office Phone:+255 715 786800/+255 784 786800/+255 786 426732
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:hmurji@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth24 October 1966
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Mkonge Secondary School, LindiO-Level Education19811984SECONDARY
Karume Primary School, NewalaPrimary Education19741980PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFromTo
The Parliament of TanzaniaMember - Mtwara Town Constituency20102015
The Parliament of TanzaniaMember - Newala Constituency20002005
The Parliament of TanzaniaMember - Mitema Constituency19992000
Private SectorBusinessman-Todate

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember -Mitema District1999
 
Top Bottom